Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,623
- 164,679
Wote tunafahamu maandamano ni haki ya kikatiba, ila kwa utawala huu, maandamano yamegeuka kuwa ni kosa la uhaini.
Kwa msingi huo na nikirejea kesi ya Lissu kuhusu uhaini, Dr. Malisa ataepuka kesi ya uhaini kwa hoja ya kumtisha Rais kama tulivyoona kwenye kesi ya Lissu?
Na je, Dr. Malisa yuko peke yake?
Binafsi naamini katoka front kama captain Tesha ila kuna kundi kubwa nyuma yake.
All in all, hii ni vita ya kitaifa na sioni wa kuushinda umma wa Tanzania zaidi tu ya kuchelewesha ushindi.