Judges are also to blame. Why? Nitaeleza scenario mbili kwa sentensi mbili

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,638
Reaction score
103,541
1. Jaji aliyesimamisha shughuli za Chadema kwa uonevu kabisa, eti Zanzibar haijapata mgao wake. Chadema ya Tunduma inahusikaje na yanayotokea Zazibar katika kunadi sera za Chadema Tunduma Mwenyekiti wa Kata ya Tunduma!!!!
Lazima watu wawe agitated.
Unaona kabisa kuwa huyu ni CCM damu damu! Kinaweza kuwa chanzo cha maandamano from internal grudges.

2. Hukumu ya Justice of Appeal Mugasha kuwapa uhalali DED kusimamia uchaguzi. Ilikuwa hukumu ya hovyo ya kuipendelea CCM. Lazima watu wawe na mafundo ya kutotendewa haki kutoka chombo cha kutenda haki. ALITUMIA KIGEZO ETI WANAKULA KIAPO. MBONA NCHI INAPINDULIWA NA WALIOKULA VIAPO? MBONA SAMIA ANAKIUKA KATIBA NA ALIAPA KWA KIAPO KIKUBWA KUWA ATAILINDA. LEO ANASEMA NI KIJITABU!

Naomba radhi kwa Mahakama najua si vema kuhoji maamuzi ya mahakama nje ya mahakama, lakini vikizidi unasema kama Mbwai na iwe Mbwai ( Wasambaa)

Naishia hapo.
 
1. Jaji aliyesimamisha shughuli za Chadema kwa uonevu kabisa, eti Zanzibar haijapata mgao wake. Chadema ya Tunduma inahusikaje na yanayotokea Zazibar katika kunadi sera za Chadema Tunduma Mwenyekiti wa Kata ya Tunduma!!!!
Lazima watu wawe agitated.
Unaona kabisa kuwa huyu ni CCM damu damu! Kinaweza kuwa chanzo cha maandamano from internal grudges.

2. Hukumu ya Justice of Appeal Mugasha kuwapa uhalali DED kusimamia uchaguzi. Ilikuwa hukumu ya hovyo ya kuipendelea CCM. Lazima watu wawe na mafundo ya kutotendewa haki kutoka chombo cha kutenda haki.

Unaona radhi kwa user wa AI?
 
Mahakama za bongo zinaendeshwa kwa mkono wa serikali, kesi zinazohusu serikali hukumu watakuwa wanaletewa tu wanagonga muhuri na kusoma.
 
1. Jaji aliyesimamisha shughuli za Chadema kwa uonevu kabisa, eti Zanzibar haijapata mgao wake. Chadema ya Tunduma inahusikaje na yanayotokea Zazibar katika kunadi sera za Chadema Tunduma Mwenyekiti wa Kata ya Tunduma!!!!
Lazima watu wawe agitated.
Unaona kabisa kuwa huyu ni CCM damu damu! Kinaweza kuwa chanzo cha maandamano from internal grudges.

2. Hukumu ya Justice of Appeal Mugasha kuwapa uhalali DED kusimamia uchaguzi. Ilikuwa hukumu ya hovyo ya kuipendelea CCM. Lazima watu wawe na mafundo ya kutotendewa haki kutoka chombo cha kutenda haki.

Naomba radhi kwa Mahakama najua si vema kuhoji maamuzi ya mahakama nje ya mahakama, lakini vikizidi unasema kama Mbwai na iwe Mbwai ( Wasambaa)

Naishia hapo.
Kwani hapa kuna mhimili unao jitegemea, yote yanatawaliwa na Raisi.
 
Hakuna haja ya kuwaomba radhi wahuni wale, tumefika hapa kwa sababu ya mahakama ya Tanzania, ofisi ya msajili wa vyama vya siasa, Tume ya uchafuzi, TISS, Polisi, TAKUKURU na CCM. Hawa ndiyo tatizo lilotufikisha hapa. Wanapaswa wajitathimini.
 
1. Jaji aliyesimamisha shughuli za Chadema kwa uonevu kabisa, eti Zanzibar haijapata mgao wake. Chadema ya Tunduma inahusikaje na yanayotokea Zazibar katika kunadi sera za Chadema Tunduma Mwenyekiti wa Kata ya Tunduma!!!!
Lazima watu wawe agitated.
Unaona kabisa kuwa huyu ni CCM damu damu! Kinaweza kuwa chanzo cha maandamano from internal grudges.

2. Hukumu ya Justice of Appeal Mugasha kuwapa uhalali DED kusimamia uchaguzi. Ilikuwa hukumu ya hovyo ya kuipendelea CCM. Lazima watu wawe na mafundo ya kutotendewa haki kutoka chombo cha kutenda haki.

Naomba radhi kwa Mahakama najua si vema kuhoji maamuzi ya mahakama nje ya mahakama, lakini vikizidi unasema kama Mbwai na iwe Mbwai ( Wasambaa)

Naishia hapo.
Kukosoa mahakama is a fair game. Kukaidi maamuzi yake ndiyo haikubaliki.
 
1. Jaji aliyesimamisha shughuli za Chadema kwa uonevu kabisa, eti Zanzibar haijapata mgao wake. Chadema ya Tunduma inahusikaje na yanayotokea Zazibar katika kunadi sera za Chadema Tunduma Mwenyekiti wa Kata ya Tunduma!!!!
Lazima watu wawe agitated.
Unaona kabisa kuwa huyu ni CCM damu damu! Kinaweza kuwa chanzo cha maandamano from internal grudges.

2. Hukumu ya Justice of Appeal Mugasha kuwapa uhalali DED kusimamia uchaguzi. Ilikuwa hukumu ya hovyo ya kuipendelea CCM. Lazima watu wawe na mafundo ya kutotendewa haki kutoka chombo cha kutenda haki.

Naomba radhi kwa Mahakama najua si vema kuhoji maamuzi ya mahakama nje ya mahakama, lakini vikizidi unasema kama Mbwai na iwe Mbwai ( Wasambaa)

Naishia hapo.
mahakama zipi unazowaomba radhi..kuna mahakama Tanzania..au ni majengo ya vikaragosi vya serikali dhalimu kufanya maigizo ya haki..!
 
Kwenye list ya watu wa kutembelewa dec9 tuongeze na majaji na mahakimu waliotoa hukumu za kuinajisi demokrasia kwa namna yoyote ile hawa ni maadui wa Taifa hili lazima waonjeshwe joto ya jiwe.
 
nyie chadema na ccm mkae pembeni mnatuchelewesha sana waacheni madogo wajikomboe hao madogo wana akili kuwazidi nyie chadema na siasa zenu za maigizo
 
Kwenye list ya watu wa kutembelewa dec9 tuongeze na majaji na mahakimu waliotoa hukumu za kuinajisi demokrasia kwa namna yoyote ile hawa ni maadui wa Taifa hili lazima waonjeshwe joto ya jiwe.
hii kutembelea ni vitisho vya kishamba ile tarh 29 mlimtembelea nani zaidi ya kuchoma sheli na migahawa that is useless badala ya ku deal na adui wa kweli ila mnapeana imani hewa mazafaka
 
1. Jaji aliyesimamisha shughuli za Chadema kwa uonevu kabisa, eti Zanzibar haijapata mgao wake. Chadema ya Tunduma inahusikaje na yanayotokea Zazibar katika kunadi sera za Chadema Tunduma Mwenyekiti wa Kata ya Tunduma!!!!
Lazima watu wawe agitated.
Unaona kabisa kuwa huyu ni CCM damu damu! Kinaweza kuwa chanzo cha maandamano from internal grudges.

2. Hukumu ya Justice of Appeal Mugasha kuwapa uhalali DED kusimamia uchaguzi. Ilikuwa hukumu ya hovyo ya kuipendelea CCM. Lazima watu wawe na mafundo ya kutotendewa haki kutoka chombo cha kutenda haki.

Naomba radhi kwa Mahakama najua si vema kuhoji maamuzi ya mahakama nje ya mahakama, lakini vikizidi unasema kama Mbwai na iwe Mbwai ( Wasambaa)

Naishia hapo.
Sijawahi kuona serikali yenye watu hovyo kama hii ya sasa. Wanajiandalia anguko lao wenyewe. Kwa mfano utekaji na mauaji waliyofanya kabla ya uchaguzi nina uhakika ndiyo yalifanya watanzania wakaweka woga wao pembeni. Na hili la kutumia mahakama, hasa majaji uchwara kufungulia watu mashtaka na kutoa hukumu potofu.
 
Mahakama ya Tanzania imeoza na inanuka damu, 90% ya madai ya wananchi yametokana na udhaifu wa mahakama.
 
Back
Top Bottom