Brand ya kikwete imeshuka sana kwa tamaa zake!
Kutaka kupewa kila kitu bure, kutumia wanafamilia wapo sasa Brand ya familia imeshuka sana na umebaki ku dharauliwa badala ya kuwa wazee wa taifa...
Nimeiangukia taarifa hii nikaidaunilod ingawa haitafutika kiurahisi. Ina maelezo yanayoshawishi kutoa mwanga wa nini kinaendelea ktk nchi. Kwa ufupi kinara ni Kikwete. Hata hivyo humuondoi Samia...
Wakuu,
Nilikuwa napitia pitia CV za wabunge hapa wakuu.
Hawa ndio wabunge, ambao wana degrees na masters kutokea kwenye hicho chuo cha Open University:
Assenga Abubakar Damian – Mbunge wa...
Wakati nakua chumbani kwa baba yangu kulikuwa na mkuki,upinde na mishale yake pamoja na jambia,yale ambayo yanakaa kwenye ala yake,
Inamaana baba alikuwa mzoefu alifundishwa kutumia silaha na...
Hakuna chama cha upinzani hapa nchini kinachokubalika kama CHADEMA hii.
Ingekuwa ya Mbowe watu wangesema kuna mazingaombwe.
Tayari wameshaikataa tume isiyohuru iliyojaa makada wa CCM...
Jumuiya ya Wahadhiri wa Kiislamu nchini Tanzania imewataka Waislamu wote nchini pamoja na Watanzania kwa ujumla kujitenga na hamasa na ushiriki wa maandamano yanayohamasishwa kupitia mitandao ya...
Mnanahangaika sana
Hili nalo litaongeza hasira zaidi kwa wananchi, mmewapiga na kuwazalilisha vijana wa watu leo mnataka kuwaweka mbela ya camera kumshukuru na kumpaka mafuta mhaini kwa kuwatoa...
Hali ya sintofahamu kwenye kijiji cha Nanjirinji A Halmashauri ya wilaya ya Kilwa, Wanakijiji wamegomea mkutano wa kijiji wakipinga Ubadhirifu unao fanywa na viongozi wa kijiji Mwenyekiti na...
Nawaona masheikh uchwala wapo busy kupambana na TEC taasisi ambayo imejipambanua kwa kuusimamia ukweli bila unafiki
Hawa wanao jiita masheikh wana ajenda yao kuu, na wana mipango yao dhidi ya...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekanusha onyo lililodaiwa kutolewa na mamlaka hiyo likionya vyombo vya habari kusambaza maudhui yanayoweza kuhatarisha amani kutoka kwa watu wenye kesi za...
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameelezea namna alivyokutana na msanii maarufu duniani, Rihanna. Amesema licha ya kuzungumza naye mambo mengi na kukaa pamoja kwa muda...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokradsi na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizunguma leo Novemba 19, 2025 amesema Tume ya kufanya uchunguzi wa uvunjifu wa amani wa vurugu zilizotokea Oktoba 29...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kuutaarifu umma na kuvikumbusha vyombo vyote vya habari nchini, ikiwemo televisheni, redio, machapisho, mitandao ya kijamii, tovuti na majukwaa ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona nitoe Ufafanuzi wa kina na maelezo ya kutosha na yenye ushahidi wa Kutosha kuelezea suala la Deni la Taifa na kile kilichofanywa kwa kila senti iliyokopwa na...
Hapa chini kuna uchambuzi kamili wa matukio (scenario analysis) kuhusu kile kinachoweza kutokea kwenye maandamano ya Desemba 9 nchini Tanzania. Nimeugawa katika:
HALI NZURI (Best Case)
HALI MBAYA...
Zitto: Kura hata kuhesabiwa hazikuhesabiwa. Zilitangazwa tu. Tulijribu kulinda kura tukashindwa. Tumekiri. Ni muhimu tuungane pamoja kupigania haki za watu.
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo kwenye Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Habari Kanda ya Mashariki Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, Meneja wa Kitengo cha Huduma za Utangazaji wa TCRA, Mhandisi Andrew Kisaka...