Nini tafsiri ya kumpa Mzanzibari Wizara ya Fedha?

Nini tafsiri ya kumpa Mzanzibari Wizara ya Fedha?

Unataka Tafsiri?

NGOJA DADA YETU HAPA ATUPE TAFSIRI,

20251117_152412.jpg


InaumaSana/ItHasAForkVery
 
Majibu utakuja kuyaona muda si mrefu pale Zanzibar itakapogeuka kuwa Dubai kupitia kodi zetu Watanganyika.

Nyerere katika hili, kwa kweli hukututendea haki Watanganyika wenzako. Maana wewe ndiye uliyetuletea huu muungano wa hovyo, katiba mbovu ya 1977, na hii ccm yako iliyotekwa na wahuni.
 
Majibu utakuja kuyaona muda si mrefu pale Zanzibar itakapogeuka kuwa Dubai kupitia kodi zetu Watanganyika.

Nyerere katika hili, kwa kweli hukututendea haki Watanganyika wenzako. Maana wewe ndiye uliyetuletea muungano, katiba mbovu ya 1977, na hii ccm yako iliyotekwa na wahuni.
Hakuwahi kudhani kwamba kuna siku Mzanzibar ataongoza URT kwa sababu namba za voters hazikubaliani na logic hio. So yeye alidhani ni "smart" and strategic thing to do. Asichojua ni kuwa unaweza usipigiwe kura kabisa na bado ukatangazwa na 98%win. We are all fucked
 
Back
Top Bottom