Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sehemu ya video inaonyesha ndugu wa kijana anayetuhumiwa kwa uhaini kutokana na tuhuma za kuhamasisha maandamano. Katika video hiyo, ni dada wa mtuhumiwa anayeonekana akieleza kuwa mdogo wake...
0 Reactions
2 Replies
212 Views
Za asubuhi Sisi wengine umri wetu ni mdogo sana na tunapenda maendeleo na amani kwenye nchi yetu itawale na tupate mafanikio na kutimiza ndoto zetu kama nyinyi wazee na viongozi vijana mliopo...
0 Reactions
0 Replies
130 Views
Hali bado ni tete mtaani. Polisi wakishirikiana na wajumbe wa Serikali za Mitaa wanawinda watu, hasa vijana wa kiume, usiku wakiwa wamelala. Mbaya zaidi wanabeba kila mtu bila kujali lolote, na...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Taasisi ya urais imetoa sana kundule kwenye boliti ya wenzao lakini hakuna matokeo chanya. Je nyani haoni macho kwenye vibanzi? Kati ya watu 70miloini hakuna anaeweza bali yeye tu? so Why...
0 Reactions
0 Replies
120 Views
Kupitia ukurasa wake wa Facebook mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayoub Rioba Chacha ameandika: Nataka niingie kwenye rekodi. Ili hata siku mtakapokuja kuniua, ibaki kwenye...
14 Reactions
105 Replies
4K Views
Unajua vitu vingine vinapita kichwani halafu unajiuliza kama vimepita. Kwanini inaonekana kama Samia anatafuta pa kushikilia? Ni kama hajajua mahali pa kutokea.. Au ndio ule msemo wa...
48 Reactions
50 Replies
2K Views
Ya Mzee Kibao ilisemaje? Huyu Jaji Othman ashaandika ripoti ngapi kwa mfano? Ziko wapi? Au huyo Balozi Ombeni Sefue, mshamsikia kwenye matume mangapi ? Ziko wapi ripoti alizoshiriki? Kwa nn...
0 Reactions
0 Replies
121 Views
Wakili Peter Madeleka, akiwa kwenye mjadala wa Jambo TV ulioangazia matukio yaliyotokea kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu, amesema tathmini yake inaonesha kwamba watu...
0 Reactions
6 Replies
306 Views
Kada wa chama cha ACT Wazalendo, Wakili Peter Madeleka, amesema anaiamini kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan iliyoeleza kuwa vurugu za Oktoba 29 hazikuhusisha vijana wa Tanzania, akisisitiza kuwa...
0 Reactions
0 Replies
222 Views
MUNGU ni mkubwa sana kama kuna mtu anaweza kukaa anasubilia majibu ya tume kwamba yanaweza kuja na kitu cha maana huyo inatakiwa kuwahi Mirembe hospital mara moja na kupata matibabu.
1 Reactions
3 Replies
178 Views
Dada anayesimamia mochwari ya Mwananyamala hajulikani alipo, kutokana na video za maiti za waandamanaji kuvuja. Mdugu zake wananmtafuta mpaka sasa. Mpaka mtu unashindwa kuelewa ni akili gani...
13 Reactions
19 Replies
1K Views
Nchi hii, pamoja na mapungufu mengi, hatujawahi kuwa na ugomvi au uhasama wa kidini. Ndiyo maana kuna watu utasikia anaitwa Abel Abdalah, wengine utamsikia akiitwa Petro mume wake Khadija, au...
6 Reactions
11 Replies
441 Views
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umetaka kuundwa kwa Tume ya Ukweli, Uwajibikaji na Upatanishi akisema ndiyo njia pekee ya kulivusha taifa kutoka katika mgawanyiko mkubwa...
1 Reactions
1 Replies
189 Views
Kuna maoni nilisoma mtu akishauri kuwa, Hawa Masheikh na Wanazuoni wanaojitokeza kushambulia TEC wanazidi kuharibu kwani wanaongea hisia badala ya Logics. Nimemsikiliza huyu Sheikh anasema kuwa...
15 Reactions
52 Replies
2K Views
Nianze kwa kucheka kidogo😊 Kama na wewe ni mtu wa kufikiri naamini hili swali umejiuliza pia Hii nchi hata mtoto wa miaka 10 ukimuuliza kwanini watu wameandamana tarehe tajwa atakuwa na majibu...
3 Reactions
11 Replies
263 Views
Tarehe 29 Oktoba, shit hit the fan, na Watanzania walikufa! Serikali inacheka tu, inadhani maisha ya watu ni joke. What the fck? Hawa watu walikuwa na familia, walikuwa na ndoto, lakini leo...
2 Reactions
1 Replies
208 Views
Picha ndio kitu wanachotafuta, baada ya hapo Utaona Vijana wao walowasambaa MITANDAON wakizitumia picha hizo na maneno yao. Hilo likishindikana TEC wawe tayari kujibu kupitia Vyombo vya habari...
4 Reactions
7 Replies
402 Views
  • Featured
Aliyekuwa Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Mwananchi, Bakari Machumu, ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano, Ikulu. Tido Mhando ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais, Habari na Mawasiliano. Lazaro...
3 Reactions
46 Replies
3K Views
Uchaguzi mkuu Oct.29 Mwaka 2000 Mkapa akiwa anatetea mhula wa pili wa urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, zanzibar ccm walimsimamisha Aman Abeid Karume akichuana na Maalim Seif wa CUF...
13 Reactions
13 Replies
698 Views
  • Featured
Rais Samia, amelipendekeza jina la Dr. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uteuzi huo unafanyika kufuatia taratibu za kikatiba ambapo jina la mgombea huwasilishwa...
10 Reactions
218 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…