Kama tunajua sababu ya maandamano kwanini tuunde tume?

Kama tunajua sababu ya maandamano kwanini tuunde tume?

BIG THINKER

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2018
Posts
712
Reaction score
1,572
Nianze kwa kucheka kidogo😊

Kama na wewe ni mtu wa kufikiri naamini hili swali umejiuliza pia

Hii nchi hata mtoto wa miaka 10 ukimuuliza kwanini watu wameandamana tarehe tajwa atakuwa na majibu hata kama siyo ya kujitoshereza ila majibu atakuwanayo.

Sasa kama tunajua kwanini vijana wameandamana kwanini tumeunda tume !?

Jibu ni dogo tu, tunataka majibu yetu wenyewe, Haya ambayo kila mtu anayajua hatuyatambui.
 
Tax alikuwa anatafuna JOJO tu kushusha presha.
 
Nianze kwa kucheka kidogo😊
Kama na wewe ni mtu wa kufikiri naamini hili swali umejiuliza pia

Hii nchi hata mtoto wa miaka 10 ukimuuliza kwanini watu wameandamana tarehe tajwa atakuwa na majibu hata kama siyo ya kujitoshereza ila majibu atakuwanayo.

Sasa kama tunajua kwanini vijana wameandamana kwanini tumeunda tume !?

Jibu ni dogo tu, tunataka majibu yetu wenyewe, Haya ambayo kila mtu anayajua hatuyatambui.
Screenshot_20251120-220343~2.png
 
Na nyumbu lazima wamskize chura kiziwi,kifupi sababu za maandamano..ni...1.kuna wahuni walitoka nje 2:walikuwa vijana wafuata mkumbo 3:walikuwa vijana waliopewa fweza.....ripoti ndio imeisha hiyo nyumbu zao kugonga tano na kunywa chai..Ila niseme tu dukuduku langu kama hatujalogwa sijui tumefanywa nini. Watanganyika?Naskia kuna vizee vichawi sana kwenye hiki chama labda na ulozi unachangia maana I can't see how the fvck did we survived for this long under this piece of @#$@#@# regime
 
Hii dunia kuna watu wa ******* sana,mtu huyo watu wakimkaribia wanaziba pua na kusema ananuka mavi naye anasikia watu gao wanavyosema halafu bado anauliza wanaziba pua za nini
 
Back
Top Bottom