Uteuzi wa mtoto na mkwe wa Rais Samia Suluhu Hassan katika baraza jipya la Mawaziri, umezua gumzo na maswali mengi.
Ingawa Rais Samia si rais wa kwanza au pekee – barani Afrika au hata kwingineko...
Kikundi hiki hakina silaha yoyote wala mafunzo yoyote ya kijeshi wala hakizidi watu 10 ni kikundi cha wanasiasa kimelibadilisha jeshi kuwa waasi wa nchi, kimelitia JWTZ mfukoni hii inahatarisha...
Jioni ya Leo Nairobi Nchini Kenya ,
Maeneo ya CBD watu wa Jumuiya ya East Africa (wana jumuiya) wamekusanyika na KUWASHA MISHUMAA kwaajili ya kuonyesha mshikamano na watanzania kwenye kipindi...
Gen Z wa Tanzania walipotishia kuandamana kupinga uchafuzi ulioitwa uchaguzi, wengi, hasa machawa, waliwabeza wakijipa imani kuwa wasingeweza. Mbona waliweza. Hata haya maandamano yanayopangwa...
Hizi ni ngiriba kinyeo upakwa mafuta ya senene Ili kesho yanukie pakuche😆😀😂🤣 napendanga kucheka mie.
Je MWIGULU Nchemba jitu liliro ISHI umasikinini, ulishindwaje kumtembelea faza kitima akiwa...
WAKILI BONIFACE MWABUKUSI;KAMA HAMTATUSIKILIZA,TUTAZUNGUMZA LUGHA MTAKAYOTUSIKILIZA,HATUTARUHUSU MZANZIBARI KUFANYA MAMBO YA HOVYO KWENYE MALI ZA TANGANYIKA.
"Wazee wangu wa Mbeya nipo hapa...
Wakuu,
Aminini kuwa Kuna members wanaugua ugonjwa wa akili kiasi cha kutetea huu uchafuzi uliofanyika October 29.
Natumai hawa ndio wale ambao usiku wakilala wanaota wanataga mayai ila asubuhi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Tume ya Uchunguzi ya masuala ya vurugu za uchaguzi haitachunguza tu matukio ya uvunjifu wa amani, bali pia kauli na matamshi...
1. Vijana walioandamana ni wahuni tu
2. Waandamanaji ni wageni siyo watanzania. Waliingilia wapi?
3. Waandamanaji ni watu wenye njaa maana walipewa pesa za kuandamana. Sasa awape vijana pesa...
Haki ndiyo kila kitu, anayesema AMANI imetangulia, anayesema HAKI imetangulia, huu ni upuuzi tu! Usiokuwa na faida. Itangulie, isitangulie AMANI lakini bila HAKI, kama wewe AMANI imetangulia...
Raia wazalendo wa taifa hili maarufu kama GenZ wanaoongoza harakati za kudai HAKI na UWAJIBIKAJI na UCHAGUZI HURU, HAKI na wa WAZI kwa njia ya maandamano yasiyo na ukomo yatakayoanza tarehe...
Shirika la Habari la CNN kupitia uchunguzi wake limebaini kuwa video za vijana waandamaji waliouawa wakati wa maandamano ya Oktoba 29, 2025 kisha miili yao kuonekana kwenye Hospitali za Sekou...
Uchunguzi huru uliofanywa na CNN kufuatia mauaji ya Oktoba 29, 2025 umebaini Mamlaka za Tanzania kupitia Jeshi la Polisi zilitumia nguvu kubwa kudhibiti waandamanaji, kiasi cha kusababisha mamia...
Aliyekuwa Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye sasa ni mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ezekiel Wenje, akizungumza katika mahojiano maalum na Televisheni ya...
Kwa viongozi wa CCM, kwao ni kheri kuendelea kuishi kwenye mazingira ya migogoro na mtifuano kuliko kukubali maridhiano ya kweli ile inayoweza kufungua milango ya katiba mpya itakayowabana...
Jeshi la Polisi linaendelea kufuatilia kwa karibu hali ya kiusalama nchini na kuchukuwa hatua kwa ukiukwaji wowote ule wa sheria za nchi.
Aidha, kumekuwepo na makundi mbalimbali, watu binafsi...
Nchi hii inashangaza sana.
Kuna double standard ya hali ya juu mno. Aliyesema atakinukisha hakuchukua round akawekwa nyuma ya nondo, saivi anapambana asinyongwe hadi kufa.
Lakini aliyesema...
Kama mlivyosema mmekamata raia wa USA mwanajeshi level ya Sajenti mnampeleka lini mahakamani maana ushahidi alikuwa nao, au bado mnaendelea na uchunguzi pamoja na kukutwa na ushahidi kama...
Kwenye Jinai kuna watu wanaoitwa accomplices yaaani Watu wanaoshiriki kutenda uhalifu au kufanikisha Uhalifu.
Vyombo vya habari vya Kimataifa hasa CNN vimeeleza wazi kuhusu vyombo vya Ulinzi na...
Kwa hali hii Rais anasimama anauliza vijana waliandamana kudai haki gani?
Matukio ya utekaji na watu kupotea kwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana limeanza kukemewa hata kabla ya uchaguzi na hii...