Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,911
- 16,510
Kufutia madai yaliyotolewa na mbunge anayetokana na Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu, Zanzibar Simai Mohamed Said akidai ya kwamba kuna baadhi wanakwamisha juhudi za maendeleo kwa maslahi yao binafsi na kuwa mmoja wao ni mtu aliyemtaja kwa jina la "Yuda"ndani ya serikali, leo hii Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha mapinduzi CCM Taifa, Fadhili Maganya amesema kauli hiyo si msimamo wa chama na kwamba ni maoni yake binafsi.
Soma Pia: Mbunge Simai: Kuna Yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani
Aidha Maganya ameongeza kuwa kauli ya mtu mmoja na kutoa taarifa haiwezi kufanya chama kushindwa kuwa salama na kauli hiyo inayoleta sintofamu haijatolewa na msemaji wa chama cha mapinduzi.