Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mzee huyu ni marehemu. Alifanya kazi na mwalimu Nyerere. Alisema kila suala linalohusu kiongozi ni special branch. Ilikuwa ikimpatia rais taarifa za mtu yoyote anayefaa kuwa kiongozi. Leo hii...
20 Reactions
67 Replies
2K Views
Hamjambo! 1. Ni Makosa kuamini watu wa nje wanaweza kutupenda kuliko tunavyopendana wenyewe kwa wenyewe. Hilo ni kosa. 2. Nitazungumza kisaikolojia alafu nitachanganya na siasa kidogo. Ambapo...
5 Reactions
64 Replies
1K Views
Alikwenda Washington DC. Akaonana na dada wa taifa. Tukawa na matumaini makubwa. Eti anaifungua nchi. Na kuachana na yote ya Magufuli. Leo kiko wapi? Mpaka wanawindana kukamatana 😂
5 Reactions
10 Replies
523 Views
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu, kwa mujibu wa Katiba na sheria, tayari umeapishwa kuongoza nchi. Hata hivyo, katika sayansi ya siasa (wasomi watanirekebisha), kuna tofauti kubwa kati ya "Legality"...
34 Reactions
96 Replies
3K Views
Wachina wanatudharau sana jamani Pamoja na kupitisha Sheria Kali Bado wanaendelea na biashara kama hakuna kitu Ni dharau sana
1 Reactions
15 Replies
302 Views
Duru zinaonesha Kuna uwezekano mikubwa Mwigilu nchemba akawa waziri Mkuu atakaestafishwa mapema kabla ya muda wake kuisha . Ni aina ya kiongozi ambaye ameshindwa kutumia Ile mbinu ya collective...
0 Reactions
0 Replies
145 Views
Is prime minister post necessary in our political structure in Tanzania. We have vice president, and president who enjoy their positions like kings.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kichwa cha habari kiko wazi. Unapokabidhiwa dhamana ya kuongoza, si kutawala wenzako, lazima uwe na falsafa ili ikuongoze katika kuongoza. Ukiondoa Mwalimu Nyerere, pamoja na mapungufu yake...
1 Reactions
0 Replies
152 Views
Je, hakuna madai yoyote ya makampuni kuja kudai fidia nchi yetu kwa madai haya ya kuzima mtandao nchi nzima? Vipi kuhusu usafirishaji wa njia ya bahari na maziwa, sector hizi hazijaathirika na...
3 Reactions
6 Replies
248 Views
Katika kipindi ambacho majeraha bado ni mabichi na hasira ni kali, swala la kusikia taarifa nyingine ama ufafanuzi kutoka serikalini linaleta kichefuchefu. Kwa haraka haraka, wengi wetu hatutaki...
4 Reactions
3 Replies
356 Views
Huyu huenda ndio akawa IGP mpuuzi kushinda Upuuzi wenyewe, na Haya yote ni matokéo ya kua na Elimu za Hapa na Pale, Elimu za Kuhonga honga wahadhiri mpaka unapata Degree. Huyu Jamaa Leo...
4 Reactions
2 Replies
204 Views
Kwa taarifa yako hakuna Propaganda mtakayotuuzia Watanganyika safari hii na kufanikiwa kuturubuni. KIla Mtanzania anajua Watanganyika waliouliwa waliuliwa kwa amri na maelekezo ya muuaji Samia na...
13 Reactions
19 Replies
608 Views
Tanzania imefikia deni la taifa la trilioni 116 (dola za Marekani bilioni 46.6) hadi Juni 2025, likiongezeka kwa asilimia 1 ukilinganisha na Mei. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ilieleza kuwa deni la...
6 Reactions
60 Replies
3K Views
Kwa kweli hotuba za Mwigulu zinadhihirisha huyu mtu alivyo mwongo na mnafiki mkubwa. Halafu anaamini watu hawana akili. Watanganyika wanawajua wote wanaowateka na kuwaua Watanganyika; wanawajua...
15 Reactions
34 Replies
901 Views
Tanzania imetuma malalamiko kwa Bunge la Ulaya kuhusu mpango wa kufanya kikao cha kujadili mada inayohusu mauaji ya baada ya uchaguzi, kuzorota kwa haki za binadamu nchini, pamoja na kesi...
7 Reactions
65 Replies
2K Views
Niliwahi Uliza , Huu Utekaji, Mauaji, Ufungwaji wa Makanisa, Majaribio ya kuua Viongozi wa Dini, Kumpa LISSU kesi ya kihuni, Kuzuia CHADEMA , kujtahidi sana Mbowe kua Mwenyekiti wa CHADEMA...
2 Reactions
4 Replies
301 Views
Katika Jambo ambalo Dola inataka kuwachezea watanzania, ni kuwaandaa Hawa wahuni wawili kama possible successors wa Urais endapo Huu upuuzi wa Uchafuzi Mkuu 2025 wataendelea kuulazimisha Kwa...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Wanasema wataandamana kuunga mkono maandamano ya jirani zao GenZ wa Tanzania waliopanga kuandamana siku hiyo.
21 Reactions
66 Replies
2K Views
Mwigulu punguza press, be professional, kila siku press, kila kukicha press, yanayoongelewa yaleyale, kwa nini? Tunajua mnajuta kwa mliyoyafanya lakini Wananchi watakuchoka sasa. Move on!
5 Reactions
21 Replies
710 Views
Nye si mwapewa mamilioni ili muue maskini wenzenyu wanaotetea haki zao. Mwataka muwe tajili kama Elon Muski. Hehee! Mwatii amri haramu kumwaga damu za wenzenyu mliambiwa nye hamfi. Mayii...
1 Reactions
5 Replies
253 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…