Wakuu.
Kama tunavyofahamu, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) anatoka Tanzania, si mwingine bali Tulia Ackson. Sasa, endapo Bunge hilo litaamua kujadili matukio ya Oktoba 29 yaliyotokea...
Wakuu,
Tunavyoijua Serikali yetu inayoongozwa na mama wa mipasho anayetuchamba kila mara akiona ukosoaji unazidi, kama wangekuwa na ushahidi hata wa mtu mmoja tu kulipwa "Kufanya vurugu" katika...
Gen z waliwashinda nguvu polisi kwa asilimia 100% Oct 29 badala yake polisi walianza kuvizia makazi na vikundi vidogo lakini kwenye uwanja walikimbia.
Ikumbukwe polisi waliuwa maelfu ya gen z na...
Nimeshindwa kusahihisha kichwa cha habari, maana yangu ilikuwa Sheria za ndani na za Umoja wa Mataifa ( Sheria za nje ya nchi zinawezakuwa local laws za nchi anayoishi lakini ni sahihi kusema...
Maoni yangu kuhusu maandamano: njia salama zaidi kulinda watu na kulinda mali na kulinda mali ni KUYARUHUSU, kama nchi nyingine za kidemokrasia zinavyofanya.
Tanzania ni demokrasia, sindiyo...
Wakati huu ambapo machawa wamekataliwa na wananchi ni wakati pia wa wasanii wa kizazi kipya Gen z kuchukua fursa hii kuibuka kuwafunika.
Tunataka wasanii wapya.
Hati ya kukamata ikishatolewa na ICC intepol wanamamlaka ya kukamata.
Kama alivyokamatwa Rodrigo Durtete aliyekuwa Rais wa uphilipino kwa makosa dhidi ya uhai wa binadamu. Ndivyo hivyo wahalifu...
Miaka 63 iliyopita, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliandika kijitabu Tujisahihishe, akionya tabia ya kutafuta mchawi nje ya nchi kila tukipatwa na matatizo tuliyoyasababisha sisi wenyewe...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aliwahi kusisitiza kwamba viongozi wanapaswa kuacha tabia ya kuwaajiri watu kwa misingi ya kufahamiana iwe ni ndugu, rafiki au...
Nimepita Kigogo roundabout jioni ya leo nimeona hawa JW ni vijana wadogo wenye ndevu.
How comes?
Je, ndo maana wengine wanavaa mask kuficha sura zao tusijue kuwa hawa ni UVCCM?
Kwa nini jeshi...
Kuna mtu alienda mbele ya waandishi wa habari kutoa ripoti ya mali zilizoharibiwa kwenye maandamano ya October 29.. Mali hizo ni kama
Magari
Vituo vya mafuta
Nyumba
Miundombinu Mk
Licha ya kwamba...
(Ujumbe wa Mwisho wa Mwendawazimu Kabla ya Dunia Kumpoteza Milele)
Sikiliza sasa, wewe uliyeamini unaishi katika nchi, kumbe unaishi katika ndoto ya wengine. Huu ni usia wangu wa mwisho, na baada...
Habari ndugu na jamaa! Pole na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku.
Sio mwandishi mzuri, lakini leo nataka nikupe kisa cha kweli kuhusu taifa lako.
Mwaka 2016, nikiwa mwanafunzi wa mwaka wa...
๐๐๐ง. ๐ ๐ช๐๐๐จ๐๐จ: ๐ง๐๐ก๐ญ๐๐ก๐๐ ๐ก๐ ๐ ๐๐๐ ๐ฌ๐๐ง๐จ ๐ฆ๐ข๐ง๐, ๐ฆ๐ ๐ ๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐ฆ๐๐ฅ๐๐๐๐๐ ๐ช๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐ ๐ฆ๐๐๐ฆ๐
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania ni mali ya Watanzania wote wala si ya Serikali au chama cha...
Utangulizi:
"Ili kushinda inatakiwa uwe 16 au 60thin than the combustible dust" Hii ilikua ni code ya kimaono nilishindwa kung'amua ipi ni ipi yaani kati ya sixtythin than the combustible dust na...