Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Paza Sauti Yako Kataa Maandamano Hawa wametumwa Damu
2 Reactions
52 Replies
1K Views
Nimechungulia kwenye kusanyiko la Wazee wa Dar es Salaam nimejionea maajabu! Maajabu yote haya ni dhahri Shahri kwamba ni kiboko kilichotolewa na Gen-Z pamoja na kwamba wamewaua lakini WAMEJUA...
15 Reactions
8 Replies
427 Views
Rais Samia akihutubia Taifa leo desemba , 2025 katika Mkutano na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam uliofanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa ya Mwl. Julius Nyerere JNICC amesmea kuwa Sifa ya utamaduni...
0 Reactions
1 Replies
173 Views
Akizungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam Dec 2, 2025 Rais Samia ameeleza kuwa watu walioingia barabarana walikuwa na lengo la kuiondoa dola madarakani na tukio hilo lilikuwa ni la...
2 Reactions
10 Replies
331 Views
Hapa tutapeana yanayojiri ukumbini Nini matarajio yako? Viongozi wa dini wafanya sala za ufunguzi akiwemo Mwamposa Mkuu wa Mkoa anatoa salamu na kutambulisha wageni Mwenyekiti wa wazee wa...
1 Reactions
17 Replies
421 Views
Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Salum Matimbwa amesema Wazee wa mkoa huo wanaungana na Watanzania lkumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa...
1 Reactions
9 Replies
386 Views
Mussa Ndile, Kiongozi wa Machinga wa eneo la Simu 2000, ametekwa tarehe 27 Novemba 2025 na watu wanaodaiwa kujitambulisha kama askari wa Jeshi la Polisi. Kwa mujibu wa ndugu zake, juhudi za...
1 Reactions
5 Replies
269 Views
Kukosoa Taarifa za Mange Kimambi na Msimamo wa Serikali ya Tanzania Katika miaka ya karibuni, Mange Kimambi ameibuka kuwa mmoja wa watu maarufu kwenye mitandao ya kijamii akijipambanua kama...
-2 Reactions
8 Replies
2K Views
Tunaishi katika dunia iliyojaa unafiki na kila aina ya mabaya, yaani kweli hawa wanaojiita wazee hawajui kama uchaguzi haukuwa wa uhuru na haki? Hawajui kama kila siku watu wanapotea na kutekwa...
0 Reactions
7 Replies
185 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema maelekezo yote yaliyotolewa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan siku ya hotuba yake baada ya kuapishwa yametekelezwa na yanaendelea...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
Mambo mazito Yanayosubiri Majibu Baada ya kutangazwa katika vyombo vya habari kuwa Rais Samia Suluhu Hassan atazungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam na kuliutubia Taifa, mijadala mikubwa...
0 Reactions
0 Replies
397 Views
Mwenyekiti wa Baraza la wazee mkoa wa Dar es Salaam Salum matimbwa amesema kuwa wazee wamefurahishwa na uamauzi wa Rais Samia kuanzisha wizra maalum ya vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa...
1 Reactions
2 Replies
229 Views
"Tusikatae ukweli kwamba vijana waliandamana kwa sababu gani? wanasema sababu ya kwanza ukiuliza vijana wanasema hatuko salama watu wanatekwa, watu wanapotezwa, watu wanauawa, ni zoezi lina zaidi...
27 Reactions
115 Replies
2K Views
Anasema kusema vijana wamenunuliwa ni makosa na kuwakosea sana. Anasema vijana si wajinga kiasi hicho. Ingawa, anaona kusema wamehamasishwa hilo halina mjadala kwani kulikuwa na uhamasishaji...
28 Reactions
39 Replies
1K Views
DeletedMember281674
Je, maagizo yatakayotolewa leo kwa wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wakazungumze na watoto wao na wajukuu wao waachane na D9, ya Kwamba wanatumika vibaya na kulipwa mabeberu, njia hii itasaidia...
1 Reactions
4 Replies
257 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…