Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa kiongozi mwenye hekima kubwa, na alisimamia migogoro kwa ustadi wa hali ya juu. Hakupendelea vurugu, bali alitegemea mazungumzo, usuluhishi, uadilifu, subira na...
0 Reactions
2 Replies
251 Views
Mimi siishi kwa misisimko. Nina akili sana, kwahiyo sihitaji uchambuzi wenu. Samia ni Rais bora sana ingawa alikuwa weak ila kadri zinavyokwenda ameimarika sana. Ule udhaifu ulisababishwa na...
1 Reactions
16 Replies
408 Views
Rais Samia amesema vurugu zilizotokea Desemba 29 na kuendelea siyo desturi wala utamaduni wa Watanzania. Ameongea kuwa inatia uchungu kuona wachache walioratibu fujo zile wakitaka watanzania...
2 Reactions
9 Replies
348 Views
Sijaona hotuba ya kuponya nchi zaidi ya kiburi, jeuri na ulevi wa madaraka kutoka kwa Rais Samia. Huyu mama sijui amekuja kuwaje. Amedhihirisha ukatili alionao, huyu hatufai kabisa, vinginevyo...
13 Reactions
148 Replies
4K Views
1. Maridhiano 2. Ahadi ya Katiba Mpya. 3. Hadaa na ulaghai mwingi anaodhani utawafanya waTanzania wavumilie utawala wake mbovu Asichoweza kuzungumzia: 1. Mauaji ya waTanzania 2. kukiri na...
19 Reactions
22 Replies
718 Views
PRESS RELEASE ‼️UTARATIBU WA SERIKALI YA MPITO‼️ Tumetafakari kwa umakini na tumeazimia ✊🏽 👉🏽 Sisi Wananchi wa Tanzania tunasisitiza kwamba hakukuwa na uchaguzi uliofanyika nchini Tanzania...
61 Reactions
107 Replies
4K Views
Huyu Ndugu Samia sijajua nani alimshaur8 amteua Mwigulu Nchemba, Huyu Mwigulu hana tofauti sana na Makonda kwenye swala la Uropokaji, kupenda Sifa na kuto jua au kuto pangilia maneni ya kuongea...
8 Reactions
10 Replies
529 Views
hawa watu ni shida, na wala hatukupaswa kuungana nao kabisa, angalia jinsi walivyowaua wapinzani wao huko Zanzibar, damu damu, damu. https://www.youtube.com/watch?v=Ss-lfLLzV-k
0 Reactions
0 Replies
142 Views
Moja ya tuhuma zinazosambaa ni kwamba majeruhi wa maandamano ya MO29 walikuwa wanapelekwa hospitali wakiwa hai na waliowaleta wakawa wanawataka wahudumu wasiwahudumie majeruhi bali wawapeleke moja...
3 Reactions
24 Replies
655 Views
Mjibu kwa ufasaha, one point after another. Bila jaziba, dharau wala mipasho kama alivyotumia yeye. Consult wataalamu wa kila uwanja wa weledi. BILA KUCHELEWA as the saying goes: Strike the Iron...
3 Reactions
3 Replies
200 Views
(1)Unazani maandamano yatafanikiwa tena au ni heri kupambana kwa njia nyingine (3)Inaenda kutawaliwa kwa mkono wa chuma (2) Amani yetu tuliyojivunia inatoweka na unaenda kutokea uasi ndani ya...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Waarabu siasa zao siyo za kubembelezana, wakianzisha chama cha siasa kinakuwa na military wing. Angalia Kule Syria, Tizama HAMAS, Tizama Hezbollah, na sasa HOUTHI kule Yemen. Wao wanaingia...
37 Reactions
265 Replies
7K Views
"Tulifanya kikao hapa tuliwashauri serikali tarehe 30 mwezi wa nne usiku wake ambapo waliamua kuniua mimi, ndiyo tulipitisha yale maazimio na uzuri yamekabidhiwa serikalini mwezi wa nane tarehe...
36 Reactions
76 Replies
3K Views
Father kitima bado yupo na mawazo ya kizamani sana, bado yupo na mawazo ya Ujerumani kuitawala dunia. mbinu zenu zote za kuangusha mataifa kupitia dini zinajulikana zote. Vita vya kwanza vya dunia...
7 Reactions
82 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, amesema; "Unaposema tusitetee Uhai wa Mtu, Mdude haonekani mpaka sasa hivi, alikuwa anachambua mambo ya Siasa ya...
60 Reactions
200 Replies
11K Views
Safari hii hakuna kubembelezana. Kitakachowakuta watia fujo tarehe 9 kitafunga mjadala Hakuna tena mtu atathubutu kufanya maandamano ya uasi miaka 40 mbele. Wazazi (Gen Z) watawasimulia watoto...
6 Reactions
170 Replies
4K Views
Nawaonea huruma sana Yaan ni ngumu sana kuwatetea hawa watu, roho na nafsi zinawasuta kila kukicha. Tumefika pazuri sana.
16 Reactions
76 Replies
2K Views
guest-1787677255
Binafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10. Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku...
8 Reactions
107 Replies
3K Views
"Kama msimamo wa Samia Suluhu Hassan ndio huu aliousema juzi, maana yake ni kwamba tujiandae kwa mapambano makali na magumu mbeleni. Huyu mama ni Magufuli wa kike, kwa hii kauli yake kuhusiana na...
17 Reactions
133 Replies
11K Views
  • Closed
Wanaharakati uchwara waliwajaza mihemko vijana kwamba waende kufanya fujo, mwishowe wameishia kupoteza maisha na wakina maria wamebaki wakila maisha, ewe kijana maisha yako ni ya muhimu sana kwa...
2 Reactions
53 Replies
808 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…