Katika uwanda wa Kidunia, Marekani na Ulaya zilikua zinapoteza Kwa Kasi sana Ushawishi wao hasa Ndani ya Bara la Afrika, Amerika ya Kusini ,Asia .
Sababu kubwa ilikua ni Wao Kusimama na Viongozi...
Kufuatia matukio ya kikatili yaliyofanywa na mamlaka ya Tanzania kwa maandamano yaliyotokea baada ya uchaguzi wa rais na wabunge wa tarehe 29 Oktoba 2025, mashirika ya kiraia yanaitaka jumuiya ya...
Kauli kama hiyo inaonyesha mtazamo wa utawala wa mabavu badala ya utawala wa sheria na haki. Huu ni mtazamo wa hofu, ukandamizaji, na ukosefu wa majadiliano ya kidemokrasia. Tuchambue kwa kina...
Sote tumeona hali hii mbaya kabisa kutokea katika nchi yetu nzuri, Hali hii mbaya kabisa ipo katika maeneo yote kama eneo la
a. Kiuchumi
hali ni mbaya sana hatukopesheki kimataifa kutoka kwa...
Kila.mmoja analikia TANGANYIKA maana wanajua huyu atarudi kwao na kuiacha TANGANYIKA maiti!
Ukiwaacha MAUBWABWA wachache ambao wako driven na dini, all the rest of TANGANYIKANS are bent to...
Gen Z wapo fire wameamua kupeleka barua rasmi kwa kamanda Muliro, ili waakae wajuwe kwamba kuna tukio kubwa sana hiyo 9 Dec
================
Kizazi cha vijana wa Kitanzania kinachojulikana kama...
1. Imeandikwa humu jukwaani na kuona kupitia social media huyu anayeitwa PM wa serikali isiyo halali kisiasa na kimaadili, iliyoji - force kutawala Watanganyika, Mwigulu Nchemba akiagiza Waziri wa...
Vijana awalili kulelewa, wanalilia ajira na awataki kulelewa lakini sisi wazazi na walezi tusimame kidete tuwalee, ili yasitokee ya hovyo haya yalitokea.
Kwakuwa imeundwa wizara ya vijana watoto...
Wakuu
Nchi ina heka heka sana hii vijana kama hawa sidhani hata wanachokiongea kama wanakijua au ni ilmradi tu, yani ni kama wale wale wazee wa lile jiji
===
Katibu Msaidizi wa idara ya Mabinti...
Wakuu kiukweli nasikitika kuona viongozi wakiendelea kuonesha kutojali yaliyotokea.
Kanda ya Ziwa bado inaonekana vijana hawapo tayari kuweka silaha chini.
Baadhi ya mitandao ya kijamii vijana...
Mnakumbuka kipindi cha Magufuli vimemo vya vi organizations mbalimbali vilivyotolewa na majibu ya MAGUFULI?
Baadaye wakijua kuwa unajiamini na hitishiki wanaendelea kumwaga pesa maisha yanasonga...
Gen Z upepo wao unavuma muda wowote! Kwahiyo usishangae ukawaona tena!
============
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo amekagua Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kisesa iliyopo Halmashauri ya Wilaya...
Kila kona watu wana hofu na wanahisi huenda kukawa na machafuko makubwa.
Naambiwa na jamaa yangu mmoja kuwa Geita Gold Mining imesitisha uzalishaji kwa siku nane. Mpaka habari hii ya machafuko ya...
Ni Serikali haramu pekee tangu uhuru baada ya uchaguzi yenyewe ipo kwenye mgogoro mkali na wananchi na dunia ni kwasababu ni wasaliti wa nchi na haramu.
Mgogoro hatimae unazaa maandamano makubwa...
Ndugu zangu wa Arusha na Tanzania kwa ujumla, ngoja niseme kwa hekima lakini bila kupaka sukari maana tumefika pahala ambapo ukimya wetu umeanza kutuua kiuchumi, kisa tu decision za mtu mmoja...
Ni kawaida ya binadamu kutaka mabadiliko hata watawaliwe vizuri namna gani. Wana Waisraeli walikuwa wanatawaliwa na Mungu mwenyewe. Wakachoka, wakasema na sisi tunataka mfalme. Wakapewa Sauli. So...
Kuna vijana Libya walikuwa front line kuhakikisha Gaddafi anaondolewa Libya bila ya kujua kuwa nyuma yao kuna nguvu ovu inawasukuma. Vijana wengi wa Libya walipambana na serikali yao wakijidhani...
Kiburi cha wanadamu chatoka wapi?
Kwa sababu wewe una cheo fulani na vile unapojiangalia unaona umezungukwa na ulinzi mkali, umezungukwa na kila aina ya silaha ndio sababu ya kuwadhihaki...
Katika historia ya mataifa, kuna vipindi ambavyo misingi ya utawala imara huonekana kufifia, taasisi zikaishiwa nguvu, na kauli za viongozi zikaanza kutengeneza mipasuko ndani ya jamii badala ya...