CCM imewa brain wash watu wamekuwa kama vichaa

maandamano

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2025
Posts
686
Reaction score
1,491
Hivi unajiuliza haya iliyokuwa inayafanya CCM kuanzia kutoa hongo, kununua wapinzani,kuteka watu, kuuwa wapinzani mpaka kuja kuuwa maelfu kwenye maandamano bado kuna mijitu inamtetea huyu Mama?

Nyie Viongozi wa Kiisilamu mnaakili kweli? Au tatizo ndiyo kumaliza darasa la nne na la saba na kwende kusomea Dini halafu mtu aanajiita Shekhe.

Amani mnayoitetea ipi wakati kila uchaguzi CCM wamekuwa wakiteka na kuuwa watu,Mnashindwa muungane na wakristo waandamanji kuikemea serikali baadala yake mnaitetea,iliyouwa watu na kushindwa kuwakabidhi mili ndugu zao ili wakaizike kwa heshima za imani zao. Mimi sidhani kama huyu mama bado anaweza kusimama na akahubiri Amani na watu wakamsikili.

Tumefikishwa hapa na hii serikali iliyotuongoza miaka yote toka uhuru hakuna wa kulaumiwa zaidi ya viongozi wetu
 
Hivi unajiuliza haya iliyokuwa inayafanya kuanzia kutoa hongo,kununua wapinzani,kuteka watu,kuuwa wapinzani mpaka kuja kuuwa maelfu kwenye maandamano bado kuna mijitu inamtetea huyu Mama?
Nyie Viongozi wa Kiisilamu mnaakili kweli?au tatizo ndiyo kumaliza darasa la nne na la saba na kwende kusomea Dini halafu mtu aanajiita Shekhe,
Amani mnayoitetea ipi wakati kila uchaguzi CCM wamekuwa wakiteka na kuuwa watu,Mnashindwa muungane na wakristo waandamanji kuikemea serikali baadala yake mnaitetea,iliyouwa watu na kushindwa kuwakabidhi maiti ndugu zao,Mimi sidhani kama huyu mama bado anaweza kusimama na akahubiri Amani na watu wakamsikili

Tupo Msikitini bado hatujatoka Sheikh
 
Wanufaika unafikiri wanajali. Mnufaika anaona sawa, japo wapo viongozi wengi hawakubaliani na hili
 
Hivi unajiuliza haya iliyokuwa inayafanya kuanzia kutoa hongo,kununua wapinzani,kuteka watu,kuuwa wapinzani mpaka kuja kuuwa maelfu kwenye maandamano bado kuna mijitu inamtetea huyu Mama?
Nyie Viongozi wa Kiisilamu mnaakili kweli?au tatizo ndiyo kumaliza darasa la nne na la saba na kwende kusomea Dini halafu mtu aanajiita Shekhe,
Amani mnayoitetea ipi wakati kila uchaguzi CCM wamekuwa wakiteka na kuuwa watu,Mnashindwa muungane na wakristo waandamanji kuikemea serikali baadala yake mnaitetea,iliyouwa watu na kushindwa kuwakabidhi maiti ndugu zao,Mimi sidhani kama huyu mama bado anaweza kusimama na akahubiri Amani na watu wakamsikili

Bado tupo Msikitini tunasikiliza mawaidha Sheikh, subiri tutoke halafu tukapate ubwabwa na ndizo na soda baridi aina ya Pepsi halafu tutarudi kukujibu tukiwa na kanzu zetu na chini tumepiga makobazi...
 
Hivi unajiuliza haya iliyokuwa inayafanya kuanzia kutoa hongo,kununua wapinzani,kuteka watu,kuuwa wapinzani mpaka kuja kuuwa maelfu kwenye maandamano bado kuna mijitu inamtetea huyu Mama?
Nyie Viongozi wa Kiisilamu mnaakili kweli?au tatizo ndiyo kumaliza darasa la nne na la saba na kwende kusomea Dini halafu mtu aanajiita Shekhe,
Amani mnayoitetea ipi wakati kila uchaguzi CCM wamekuwa wakiteka na kuuwa watu,Mnashindwa muungane na wakristo waandamanji kuikemea serikali baadala yake mnaitetea,iliyouwa watu na kushindwa kuwakabidhi maiti ndugu zao,Mimi sidhani kama huyu mama bado anaweza kusimama na akahubiri Amani na watu wakamsikili
Vyama vya siasa katika nchi isiyofuata sheria za dini huwa havina dini bali ni maslahi tu, kama Chadema kilivyojikita zaidi kuwa brain wash wakristo.
 
Lakini wako kwa ajili ya kutetea haki ambazo hata mwenyewe unazikosa
 
Lakini njia ya kutetea hizo haki tuzibadilishe, si vizuri kudai haki kwa kuvunja haki za watu wengine.
Kuchoma moto vituo vya mafuta huko ni kutetea haki?
Kuvunja maduka ya watu na kuiba mali na kuchoma moto, huko ni kutetea haki?
Kuvunja na kuchoma miundo mbinu ya nchi huko ni kutetea haki?
 
Tena Viongozi wa Jumuia za waislamu na ni kwa sababu asilimia kubwa hawajasoma. Njia pekee ya wao kupata fedha ni kulamba viongozi wa serikali miguu na makalio
 
Back
Top Bottom