Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Ofisi ya Mkoa kwa kushirikiana na TANESCO haitabaki kimya kufuatia kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC)...
Nimeona imezuka tabia ya hovyo sana; wakishinda kesi wanasema mahakama iko huru na wanaisifia, lakini siku wakipoteza kesi wanasema mahakama haiko huru. Nani anasema mahakama haiko huru? Hii ni...
Target kubwa ya speech ya jana ilikuwa kwa makundi makubwa matano yafuatayo.
WAFADHILI, kundi hili linajumuisha nchi za ulaya EU countries na Marekani. Aliwaambia 'Who are You', kwanza vihela...
Kichwa cha habari kiko wazi. Kama kweli dola ni mali ya wananchi, sisi wenye jeshi letu tupinge na kulipiga marufuku kushiriki au kushirikishwa kwenye siasa hi,I za majitaka.
Katiba yetu...
TAARIFA KWA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Kuhusu: Dhuluma, Mateso ya Kisaikolojia, na Uvunjiwaji wa Haki kwa Vijana wa JKT Waliotumikia Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania...
Katika awamu hii mpya ni vema serikali ikaona umuhimu wa kuongezs direct flights nyingi zaidi kutoka major destinations, mfano Kilimanjaro kwenda italy na ujerumani...
“Nakaribisha ombi la Idara ya Mambo ya Nje ya Marekani kuhusu ombi langu la kukagua uhusiano wa Marekani na Tanzania. Hali inayoendelea Tanzania inasikitisha sana na inatishia utulivu na usalama...
Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa, ametoa wito kwa taifa kuanzisha mapema mchakato wa maridhiano na uponyaji baada ya matukio ya...
Aliyekuwa Mgombea wa Urais kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Luhanga Mpina, ameibuka na kutoa tuhuma nzito dhidi ya Serikali, vyombo vya dola na taasisi za uchaguzi, akidai kuwapo kwa ukiukwaji...
Kuna kutupiana maneno Kati ya Lema na huyu Nabii
Sasa kilichotekea ni hivi
======
Post ya juu (nabii_bashando):
“Nimekuwa na maombi ya kuutakasa mji wa Arusha na kwa siku sita hatimaye leo...
Katika uwanda wa Kidunia, Marekani na Ulaya zilikua zinapoteza Kwa Kasi sana Ushawishi wao hasa Ndani ya Bara la Afrika, Amerika ya Kusini ,Asia .
Sababu kubwa ilikua ni Wao Kusimama na Viongozi...
Kufuatia matukio ya kikatili yaliyofanywa na mamlaka ya Tanzania kwa maandamano yaliyotokea baada ya uchaguzi wa rais na wabunge wa tarehe 29 Oktoba 2025, mashirika ya kiraia yanaitaka jumuiya ya...
Kauli kama hiyo inaonyesha mtazamo wa utawala wa mabavu badala ya utawala wa sheria na haki. Huu ni mtazamo wa hofu, ukandamizaji, na ukosefu wa majadiliano ya kidemokrasia. Tuchambue kwa kina...
Sote tumeona hali hii mbaya kabisa kutokea katika nchi yetu nzuri, Hali hii mbaya kabisa ipo katika maeneo yote kama eneo la
a. Kiuchumi
hali ni mbaya sana hatukopesheki kimataifa kutoka kwa...
Kila.mmoja analikia TANGANYIKA maana wanajua huyu atarudi kwao na kuiacha TANGANYIKA maiti!
Ukiwaacha MAUBWABWA wachache ambao wako driven na dini, all the rest of TANGANYIKANS are bent to...
Gen Z wapo fire wameamua kupeleka barua rasmi kwa kamanda Muliro, ili waakae wajuwe kwamba kuna tukio kubwa sana hiyo 9 Dec
================
Kizazi cha vijana wa Kitanzania kinachojulikana kama...
1. Imeandikwa humu jukwaani na kuona kupitia social media huyu anayeitwa PM wa serikali isiyo halali kisiasa na kimaadili, iliyoji - force kutawala Watanganyika, Mwigulu Nchemba akiagiza Waziri wa...
Vijana awalili kulelewa, wanalilia ajira na awataki kulelewa lakini sisi wazazi na walezi tusimame kidete tuwalee, ili yasitokee ya hovyo haya yalitokea.
Kwakuwa imeundwa wizara ya vijana watoto...
Wakuu
Nchi ina heka heka sana hii vijana kama hawa sidhani hata wanachokiongea kama wanakijua au ni ilmradi tu, yani ni kama wale wale wazee wa lile jiji
===
Katibu Msaidizi wa idara ya Mabinti...