GTs,
Nimeona Maria Sarungi akimtahadharisha Fr. Kitima kuwa kuna askari polis wanne wametumwa na Samia kumuua Fr. Kitima, na hii inaendana na biti la RC Chalamila kusema anaunda kikosi kazi...
Tunarejea tamko la Mwakilishi Mkuu kwa niaba ya Umoja wa Ulaya la tarehe 2 Novemba 2025, na tamko la pamoja la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Norway na Uingereza la tarehe 31 Oktoba 2025...
Kutuchamba kwote kule hadi kushika kiuno ndio matumaini yenyewe nini bwana Tibwa?
==============
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, kimesema Hotuba ya Rais Samia Kwa Wazee Imejaa...
Hili li muungano linaweza kufa wakati wowote na yeye atarudi kwao. Mtabaki na mfu CCM wenu peke yenu.
Mshaurini ukweli na utawaweka huru!
Nyote watatu semeni Amen.
Baada ya kuangukia madaraka kama wakenya ambayo wangesma, Samia Sulubu Hassan alliahidi kuifungua Tanzania kana kwamba ilikuwa imefungwa. Alianza kuvaa barakoo tofauti na mtangulizi wake.
Alianza...
BAKWATA KIDONDA KIPO MGUUNI DAWA MNAWEKA MACHONI !
Na Maalim KONDO BUNGO
Nikweli tunafahamu kwamba Bakwata haijawahi kupingana au kutofautiana na Ccm na Serikali yake hata mara moja hata pale...
Kwa mujibu wa KATIBA ya Tanzania wananchi Wana mamlaka ya kuamua watu wakuwaweka kwenye mihili ya nchi
Ni kosa la kiuhaini na uasi kuchukua mamlaka bila idhini yao
Ni ruksa Kwa wananchi...
Taasisi ya NED au National Endowment for Democracy ni taasisi ya kimarekani.
Taasisi hii iliundwa kushughulikia harakati za kisiasa duniani baada ya shughuli hizo kuondolewa ndani ya idara ya...
Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao...
Padri Kitime kanyooka Sana! Hakutaka konakona wala pindapinda kama pindo la kaniki😀🙌🏿
Kaweka wazi, ulikuwa mwaliko binafsi na mazungumzo yalikuwa binafsi! Hasa ikizingatiwa wanatoka sehemu moja...
Tatizo lilianza siku alipoidharau Katiba ya nchi kwa kuiita kwa maneno yake mwenyewe kuwa 'kijitabu'.
Na kuna siku atashitakiwa kwa kuikashifu Katiba ya nchi.
Namna pekee ya kupona ni kwa yeye...
Hii inchi ilikuwepo kabla ya ccm na TANU hivyo itaendelea kuwepo hata ccm itakapokua imekufa kabisa, maana sasa iko ICU ikishikiliwa na vyombo vya dola.
Hivyo, ni kosa kwa ccm kuamini kwamba wao...
Bila hata aibu anasimama na kujitapa nilipata 98% sababu CHADEMA ya Lissu haikushiriki uchaguzi!
Hata kama madaraka ya uraisi ni matamu ndio kwa uongo huu! Watu hawakujitokeza kabisa kupiga kula...
Hii statement siyo nzuri kwa kipindi hiki inaweza kum cost.
Kwamba waje 9 Disema au 25 Disemba au siku yeyote tumejipanga. Who are You.
Ameyasema haya leo akinukuu clips za Mange Kimambi za...