Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa miaka mingi Tanzania imekuwa ikiheshimika kama msuluhishi wa vita mbalimbali na alama ya ukombozi na uhuru katika ukanda huu wa maziwa makuu na hata Afrika kiujumla. Tanzania ilipeleka...
9 Reactions
10 Replies
380 Views
Mchekeshaji maarufu kutoka Kenya, Erick Omondi amewashauri wasanii wa Tanzania kusimama na wananchi akiwasihi kwamba hawa marais wanapita tu pindi muda wao kukaa katika hizo nyadhifa unapoisha...
11 Reactions
31 Replies
1K Views
Baada ya matamko ya nchi wahisahi kuhusiana na matukio ya liyotokea kabla na baada ya uchaguzi(feki) uliofanyika Tanzania. Kama ilivyo ada mashehe wetu wasiwasite kutoka na kuitetea Serikali kama...
7 Reactions
19 Replies
570 Views
Inawezekana kabisa huu mgogoro wa huyu askofu vs Maza ikawa ni mbinu ya kuhamisha fikra za Watanzania kutoka kwenye fedheha ya kejeli za nje haswa 254 na EU , na kuwafanya washughulike na migogoro...
2 Reactions
8 Replies
711 Views
“Udhibiti wa Uhuru wa Maoni na Habari”— ambayo ni nguzo muhimu ya demokrasia na ukombozi wa kifikra. Nchi yenye hofu ya Wananchi wake kusema ukweli si nchi bali ni GEREZA. Na Tanzania ya sasa...
3 Reactions
4 Replies
407 Views
Sasa wewe nenda kinyume na hiki Kichwa changu cha Habari hapa hiyo Wiki ijayo ujue kwanini Nyoka hana Ugoko Ok? Nimemaliza.
3 Reactions
39 Replies
762 Views
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Masaju amewaasa wanasheria kutokuwa chemichemi ya uvunjifu wa amani kwenye taifa.
1 Reactions
5 Replies
198 Views
MWANDISHI wetu Nyaronyo Mwita Kichere, ametujulisha kwamba kuna hatari inaninyemelea. "Gari aina ya Landcruizer ikiwa na watu saba ndani yake, inaranda jirani na nyumba yangu eneo la Monduli mtaa...
11 Reactions
33 Replies
927 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limekanusha taarifa zinazosambazwa mtandaoni kuwa magari yanahamishwa kutoka Tunduma ili kukwepa hasara, na kwamba taarifa hizo zinalenga kuleta hofu kwa umma...
1 Reactions
2 Replies
293 Views
Ukiwapa Ubwabwa, umewa win by 100%
8 Reactions
35 Replies
849 Views
Ehee, sikilizeni sasa, enyi wana wa ardhi hii. Mmekaa kimya sana kama mifupa ya kaburini, mkisubiri siku ya kufufuliwa bila hata kujua mlizikwa lini. Ngoja niwaambie siri moja ambayo imefichwa...
4 Reactions
3 Replies
262 Views
Jumuiya ya Mabondia Tanzania imetoa kauli na kusisitiza kuwa tarehe 9 Desemba watailinda nchi dhidi ya “maharamia na wapuuzi wachache watakojitokeza kufanya maandamano wakisema wapo tayari...
2 Reactions
85 Replies
2K Views
Wananchi wanataka mabadiliko na wamechoka kukosa haki. Kwa taarifa mnazowapa tokea tarehee 29 wamekuwa wakitumia nguvu nyingi na pesa nyingi ambazo waoneshe nchi hipo salama. D9 ijafika ila...
4 Reactions
7 Replies
439 Views
Mimi hupenda kuongea kiroho zaidi,nayaona maandamano tarehe 9,nakushauri ndugu yangu nunua mahitaji yako muhimu weka ndani,kuanzia vyakula maji dawa,hakikisha una Cash mkononi ya kukutosha ingalau...
5 Reactions
15 Replies
599 Views
Hakuna vita bila kiongozi Hata Mtume Muhammad kwenye vita vyote alivyowahi kushiriki alikuwa front kabisa sasa tunaomba hawa watu wanaotushawishi tuwe nao barabarani hiyo siku tena wawe mstari wa...
4 Reactions
83 Replies
1K Views
Kupitia kurasa za Mitandao Instagram na X (zamani twitter) za Mwanzilishi wa Kampuni ya 'nala' Benjamin Fernandes amehoji; "Kwa nini uchunguzi unachukua miezi mitatu, lakini kuhesabu kura Milioni...
14 Reactions
18 Replies
705 Views
Wananchi wameanza kuandika matangazo ya maandamano njia zote za kuingia maemeo ya Ibada ili kesho watu wasome matangazo
4 Reactions
13 Replies
541 Views
Nchi nyengine zina tutambua kama waandamanaji lakini serikali haramu inatutambua kama wahaini huku wauwaji na watekaji ikiwanyamazia. Watake wasitoke watajijua wenyewe sisi tutakinukisha.
1 Reactions
8 Replies
215 Views
Kuna hatari naiona ya kuongozwa na Rais asiyependwa na wananchi wake. Kama Wanachama wa chama chake mwenyewe hawamkubali na baadhi wamekwenda mahakamani kupinga uteuzi wake, sisi wananchi ni...
8 Reactions
28 Replies
1K Views
Wakuu! Wasanii tuwasamee au tuendelee kushikilia hapohapo mpaka kieleweke?
2 Reactions
6 Replies
303 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…