Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Yuda ni yuda haijalishi kama ni yuda wa wakati uleee wa Yesu au wa wakati huu Mama ndio kila kitu. Barabara ikijengwa ni Mama. Matundu ya vyoo yakijengwa ni Mama. Hospital ikijengwa ni Mama. Hela...
3 Reactions
9 Replies
214 Views
Mhadhiri mmoja wa Chuo Kikuu cha Dodoma (ambaye hajatajwa jina) anadaiwa kukamatwa na polisi muda mfupi baada ya nyumba yake kufanyiwa upekuzi na kufanyiwa mahojiano katika kituo cha polisi kabla...
18 Reactions
109 Replies
4K Views
Chama cha Wanataaluma cha Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOMASA) kimeenda Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma kupinga kushikiliwa kwa muda mrefu bila dhamana kwa mhadhiri mwenzao, Melkisedeki Kitunzi Kaijage...
1 Reactions
16 Replies
635 Views
Katika Mkutano Mkuu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) uliofanyika jijini Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa...
0 Reactions
1 Replies
74 Views
Baada ya kumsikiliza Nchimbi leo sasa asubiri comeback yake , maana baada ya kumsikiliza, sasa wapo jikoni wanajipika kuja na mashambulizi upya dhidi ya nchimbi, hivyo kaa tayari
2 Reactions
20 Replies
397 Views
Anonymous
Tuliambiwa huduma ya mabasi ya Mwendokasi njia ya kwenda Gongo la Mboto itaanza kupatikana 01/07/2026 lakini mpaka sasa kimya wahusika watupe majibu.
0 Reactions
2 Replies
90 Views
My Take Unaambiwa asilimia 20% ni kiasi kikubwa kuliko kile Nchi zingine za Afrika wanapata kwenye biashara ya Madini. https://www.instagram.com/p/DNlY1csIdLl/?igsh=c2ZmMG4yc3I2dHZ4...
6 Reactions
137 Replies
6K Views
Leo nimeona jambo muhimu sana kutoka kwa Makamu wa Rais wetu, Dkt. Emmanuel Nchimbi, aliyezungumza mbele ya umma tarehe Julai 23, 2026. Nimeamua kuandika thread hii ili kuwafahamisha wote kuhusu...
0 Reactions
1 Replies
81 Views
Habari wakuu. Leo tarehe 24/7/2026 Makamu wa Rais Dr Emmanuel Nchimbi ametoa kauli za kisiasa ambazo kwangu ni kama mtego kwa CHADEMA. Kabla CHADEMA haijaanza kufurahia kauli hiyo ijiulize maswali...
4 Reactions
10 Replies
265 Views
https://youtu.be/ZY0-McsJUgM?si=BKQSHy6agElfKKdu Eti na mwisho wake uwe hivi👉🏻: Kwamba, Albert Bashite Malyangili a.k.a Paul Makonda ndiye achukue nafasi ya Dr Emmanuel Nchimbi - awe Makamu wa...
13 Reactions
37 Replies
1K Views
  • Redirect
Mara baada ya hotuba ya Dr Nchimbi kuwataka wananchi kuipambania katiba mpya. Sasa lumumba kimeumana haswaaaa
0 Reactions
Replies
Views
Kama umemsikiliza Dr Nchimbi vizuri utagundua kuwa ana frustration ya muda wa kuipata katiba mpya! Alitarajia itapatikana 2028 ili itumike uchaguzi wa 2029 na 2030. Sasa ni July 2026 haoni dalili...
0 Reactions
1 Replies
85 Views
Na katika hali ya sasa katiba imeshindikana kabisa kupatikana kwa njia ya kidiplomasia Kwa muda mrefu zimekuwa ni sinema zetu za kujirudia Vijana wengi sana tumewapoteza waliouwa wakitaka katiba...
1 Reactions
3 Replies
79 Views
Wanabodi, Hii ni safu yangu mpya inayoitwa PNA, kirefu chake ni PPR News Analysis. Tamka (P.N.A) Hapa nitakuwa nawawekea News Analysis ya habari kubwa yoyote yenye maslahi kwa taifa. PNA ni...
12 Reactions
46 Replies
1K Views
Tofauti ya Mbowe na Yuda ni ndogo sana Na Saed Kubenea FREEMAN Mbowe, aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwa miaka 21, hawezi tena kuaminika. Taswira...
20 Reactions
74 Replies
5K Views
Nimekuwa nikiandika sana kuhusu ardhi, viwanja vya makazi vipatikane kwa bei nafuu sana ili kila mtanzania apate haki yake ya kuzaliwa, ya kumliki japo kiwanja kimoja cha kujenga makazi yake na...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hatima ya Taifa Hili Ipo Mikononi Kwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Hatima ya Maisha na ubora wa...
1 Reactions
20 Replies
171 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amerudishwa rumande baada ya kumalizika kwa usikilizwaji wa Shauri la Kikatiba kwa siku ya leo Julai 23, 2026 Shauri Na...
4 Reactions
11 Replies
349 Views
When it's the monkey's day to die, all trees become slippery" The disgraceful and boisterous spox of #Tanzania unabashedly posted a post alluding to a fake endorsement by DJ Khaled and a Visit...
14 Reactions
25 Replies
771 Views
Viongozi nane Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliosimamishwa uongozi baada ya kutoka hadharani kumtuhumu Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, kwamba anakula fedha za...
1 Reactions
5 Replies
220 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…