Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Viongozi wa dini na dunia ilisema serikali iachie miili ya watu ilio wauwa serikali ikajibu hatufuati maagizo ya viongozi wa dini wala nchi za nje. Wananchi pia wamesema sana wanataka wapendwa...
0 Reactions
2 Replies
219 Views
Mpo salama! 1. Kesho ni Siku ya kwenda kuabudu kwa madhehebu mengi ya Kikristo yakiongozwa na Kanisa Catholic na KKKT. 2. Kwa hapa Tanzania Kanisa Catholic ndio kanisa Kubwa lenye waumini wengi...
2 Reactions
142 Replies
3K Views
"Vyombo vyetu vya usalama kama ilivyo leo, ilivyokuwa jana, ndivyo itakavyokuwa tarehe 9 na siku zinazofuata. Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wakati wote viko tayari kuhakikisha watu wako...
1 Reactions
37 Replies
799 Views
Wakati Mwenye Elimu ya Pakistani akiwa Anatafakari Rungu la Leo la Marekan kuhusu Kutathimin Uhusiano. Ikapigwa tena kombora na Wataalamu wa HAKI za Binadamu wa Umoja wa Mataifa . Muda huu...
20 Reactions
86 Replies
3K Views
Latra please ingilia kati. Wanapanduaha nauli eti sababu ya D9 Nenda Magufuli stend wasaidie wànanchi wanaibiwa.
1 Reactions
22 Replies
760 Views
Kufuatia kufungwa na kupunguzwa kwa akaunti za mitandao ya kijamii ya wanaharakati mbalimbali kwa kile kinachoelezwa na Meta kuwa ni kutokana na agizo la kisheria kutoka TCRA, hii inatuma ujumbe...
12 Reactions
22 Replies
672 Views
Na. M. M. Mwanakijiji Ni kana kwamba Oktoba 29 haikutokea. Wanaendelea kutenda kana kwamba yaliyotokea siku ile ya giza ni mambo tu ya kufikirika. Wanaendelea kutenda kana kwamba tunawaonea...
38 Reactions
37 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia Septemba hadi Novemba limeendelea na operesheni na Misako ya kuzuia na kutanzua uhalifu katika Wilaya zote. Katika Operesheni...
1 Reactions
4 Replies
206 Views
JINSI SERIKALI INAVYOWEZA KUDHIBITI MAANDAMANO YA D9 AMBAYO LENGO LAKE NI “KUMTOA RAIS MADARAKANI” BILA MAAFA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kwa vile maandamano ni haki ya kikatiba katika...
2 Reactions
31 Replies
864 Views
Great Thinkers, Nimefuatilia mijadala ya Gen Z, nilichokiona na tafakari yangu ukweli ni kuwa D09 inatetea Maslahi ya majeshi yetu. 1️⃣ Kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu maandamano ya D09...
1 Reactions
11 Replies
413 Views
GTs, Kwa mwenendo wa kesi ya ICC, wale wote waliouliwa ndugu zao au kujeruhiwa kwenye maandamano epukeni sana kwenda kwenye tume iliyoundwa na Samia. Yaani iko hivi, mkienda mtakuwa...
14 Reactions
23 Replies
660 Views
Tanzania na Marekani Zaahidi Kuimarisha Ushirikiano wa Kisekta Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Samwel Shelukindo, alikutana na kufanya mazungumzo na...
2 Reactions
6 Replies
481 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki hafla ya maadhimisho ya Miaka 108 ya Jamhuri ya Finland, iliyofanyika jijini Dar es...
2 Reactions
6 Replies
320 Views
Unaandika ubalozi wa Urusi kwenye Ukursa wao wa X
1 Reactions
56 Replies
2K Views
Ulishajiuliza kwa nini Kenya Gen Z walikuwa wanaandamana huku wakiwa na viongozi ila serikali haikuwa inawakamata hao viongozi (wanaharakati)?. Kenya kwa sasa iko shwaaariii! Jibu ni kwa sababu...
3 Reactions
5 Replies
337 Views
Mwalimu wangu wa kiswahili shule ya msingi alinifundisha neno hili linatumika mara nyingi kama unaagana pasipo majaaliwa ya kuonana Tena, mfano unaenda vitani. Tarehe 9 Desemba nitaungana na wale...
7 Reactions
13 Replies
334 Views
na kuhusu kuufungia huo mtandao itakuwa kazi bure, siku hizi hadi kina bibi wanaijua vpn.
0 Reactions
2 Replies
238 Views
Hivi wanajielewa kweli? mbona kama majinga hivi Yani wanaitisha press halafu wanaongea ujinga na kutoa vitisho. ========== Chama Cha Mabondia nchini kimeomba serikali iwaruhusu na iwape mavazi...
7 Reactions
37 Replies
965 Views
Kuna huyu Dada anajiita Maria sarungi , je huyu anapambania kitu gani? Anakuambia Tutaelewana. Mimi sipandi chochote ila yeye anapambania nini maana Field hayupo zaidi ya kuweka hashtag ya...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…