Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanatuita sisi waandamanaji vibaka wakati wamepora uchaguzi sio tu uchaguzi hadi uhai wa watanzania wenzao sasa hizi ni akili. Yamebaki masaa machache sana pakuche tukinukishe vibaya sana.
0 Reactions
2 Replies
106 Views
RAIS Samia alikuwa MAKAMU MWENYEKITI WA SPIKA WA BUNGE la katiba je Anaikataaa rasmu ya warioba? Ile rasmu Kikwete alijua kabisa warioba na Hayati Samweli Sitta waliisha amua kuibadili nchi...
1 Reactions
1 Replies
188 Views
Kipindi hiki ubabe haujengi, unabomoa. Unaweza kuilinda nchi nchi kwa diplomasia na wànanchi ambao ndio wenye nchi!
1 Reactions
10 Replies
498 Views
Najua wapo wanataman mabadiliko ila hawako tayari kujitolea hata ikibidi uhai wao, sasa kama ni hivyo, wewe tusaidie kuchukua matukio hasa kuonesha sura zao hao wahuni wenye silaha. Hii haiwezi...
13 Reactions
15 Replies
532 Views
Viongozi wetu walijisahau sana watu walikuwa wanatekwa Kila baada ya muda mfupi Yani utadhani mfuga kuku anachagua kuku wa kuchinja bandani kwake. Na viongozi hawakuonyesha kushtushwa hata kidogo...
12 Reactions
16 Replies
470 Views
Hawa jamaa wanashangaza sana. Juzi walitoa tamko ya kuwa wanapiga marufuku maandamano kwa sababu walioyapanga hawako nchini. Wakati huo huo wanatangaza kukamata vijana kadhaa kwa kuratibu...
12 Reactions
12 Replies
421 Views
Kundi la Wasanii kutoka Arusha, maarufu kama 'Wadudu Official', limetoa wito mahsusi kwa Serikali kusikiliza madai yao kwa uwazi, weledi na kupitia majadiliano yenye heshima ili kuepusha...
1 Reactions
1 Replies
228 Views
Nasema hivii this time nyie wenye magari ya UTEKAJI mtafaham wajeshi wa kazi maalum uwezo wao kimedani! hao wala hawafanyi kazi kwa maelekezao ya CDF, nawaaambieni hamtaamini nyie watekaji...
8 Reactions
40 Replies
1K Views
A new dawn is ahead of us. A new chapter is going to unfold. A new beginning is going to commence. A new Tanzania is going to be born. A country full of possibilities is going to emerge. A country...
1 Reactions
0 Replies
243 Views
Kwa TANZANIA hii mie najua wanaokuja kuteka watu ni wahuni kutoka TISS maana sheria mpya chini ya SAMIA inawaruhusu kufanya hizi aibu. Polisi utaratibu unaeleweka lazima akija aje kwa Mjumbe...
5 Reactions
22 Replies
562 Views
Hili neno MAPINDUZI linawapa sana joto chama cha mapinduzi. Kwao kuliitumia ni sawa. Wengine kulitumia ni kiashiria cha uhaini. Mnaonaje mbadili jina la chama chenu ili neno hilo liweze...
1 Reactions
5 Replies
187 Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida afisa mmoja wa polisi Tarime mkoani Mara ameshambuliwa na nyuki hadi kupoteza maisha akiwa kwenye mgahawa wa chakula mjini Tarime, tukio hilo lilitokea siku ya...
4 Reactions
4 Replies
371 Views
Kwa mara ya pili, Taasisi ya Uchunguzi wa Uhalifu ya Marekani, FBI, imemuarifu Mange Kimambi kwamba amepangwa kuuawa, kwa mujibu wa taarifa za kiinteligensia ilizozipata FBI. Yamesemwa leo na...
25 Reactions
141 Replies
6K Views
Nadhani hamjambo wapendwa. Wakuu naandika ujumbe huu ambao unenihuzunisha sana, Kuna taarifa za chini chini kuwa Samia bado ana ndoto za kuiongoza Tanganyika. Kuna majadiliano yanaendelea...
9 Reactions
16 Replies
691 Views
Nimeshangaa kuona kwenye Tv Mbunge wa Tabora mjini akikagua Zahanati jimboni kwake. Amefoka kama mbwa kukuta uchafu na dawa zilizokwisha muda wake. Swali ni kuwa anakagua kama nani? Nini maana...
1 Reactions
6 Replies
253 Views
Doria ya nini? Hakuna majibu. Nasikia Hekkopta za kijeshi zinafanya doria miji mikubwa kama Arusha na mingineyo. Kwa nini wasinunue helkopta kama hizi ili kuzima moto kwenye majanga makub2a kama...
3 Reactions
5 Replies
220 Views
Watanzania wanajielewa vizuri sana na siyo wajinga kamwe. Kila mtu ameshukuru Mungu kwani mabaya yote yaliyokuwa wakiwazia mashetani yameshindwa mbali sana na amani imetawala. Watanzania...
0 Reactions
9 Replies
227 Views
WAkuu kuna yule OCD wa Chunya aliyeelekeza kuwa bodaboda na Bajaj wasiuziwe mafuta zaidi ya lita mbili kisha polisi wenzie kuja kumakana na kuanzisha uchunguzi. Je, wamefikia wapi? Mana jambo...
0 Reactions
0 Replies
126 Views
Leo nimemsikia Gerson Msigwa akiwa kwenye chombo Cha habari kimoja wapo anadai Mh RAIS Samia ameishatoa bilioni 200 kwenda kwa vijana Anachotakiwakutambua kuwa Serikali za awamu zote zimekuwa...
0 Reactions
1 Replies
168 Views
JWTZ ilikuwa ikiheshimiwa sana kabla ya 2018 kurudi nyuma. 2018 JWTZ wakaambiwa wakabebe korosho Mtwara. Watanzania tukashangaa na kujiuliza kwanini wanaancha kazi ya msingi na kufanywa kuwa...
24 Reactions
58 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…