Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii Ndio Hali Halisi Ilivyo Mitaa ya Kwa Msuguri Mbezi Jijini Dar Es Salaam Leo Disemba 9, 2025 . Kuna Hali Ya Utulivu kufuatia Maagizo ya Serikali ya Kuwataka Wananchi wasio na Ulazima Wa Kutoka...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Huo ndio ukweli mchungu. Mambo hayo yanaweza kupatikana ai kufanikiwa tu wakati Samia na watuhumiwa wenzake wakiwa wanajitetea ICC au teyari ni wafungwa katika magereza mbalimbali duniani na si...
1 Reactions
0 Replies
137 Views
DeletedMember281674
Naona figusi Tayari. TikTok Haipatikani Tanzania bado Instagram, X, Thread na Facebook. Tanzania yangu nakupenda
8 Reactions
21 Replies
1K Views
Hivi ndivyo hali ilivyo siku ya leo Disemba 9 mkoani Ruvuma katika maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru wa Tanganyika.
0 Reactions
2 Replies
278 Views
Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. ____ Utesaji unalivunjia heshima taifa letu. Zipo taarifa za uhakika kuwa katika jitihada za vyombo vya ulinzi...
1 Reactions
3 Replies
297 Views
Wakaazi wa jiji la Dar es Salaam Tanzania waelezea adha ya usafiri mapema leo. Leo ni sikukuu ya Uhuru nchini Tanzania, na siku ambayo pia yamepangwa kufanyika maandamano ya kuipinga serikali...
1 Reactions
4 Replies
310 Views
Ikiwa ni Desemba 9, 2025, jeshi la polisi limeimarisha hali ya ulinzi maeneo yenye vituo vya mafuta Buzuruga., mkoa wa Mwanza.
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Mtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia: 1. Extradition Act, Cap. 368...
3 Reactions
149 Replies
3K Views
Unajua JKT ilikuwa nini kabla haijageuzwa kuwa kambi ya kukimbiza vijana kama kuku? JKT ilikuwa shule kubwa kuliko zote, hospitali kubwa kuliko zote, shamba kubwa kuliko yote, chuo kikuu kikubwa...
5 Reactions
2 Replies
502 Views
Demokrasia inahitaji sauti huru na uwajibikaji wa viongozi lakini pale ambapo kundi la vijana linageuka kuwa mashabiki badala ya walinzi, misingi hiyo taifa na misingi imara ya demokrasia huanguka...
1 Reactions
1 Replies
217 Views
Wakuu, Hii wiki na zaidi ilikuwa muda wa vyombo vya dola kuandamana, yaani wajuba wametoka barabarani hadi na vifaru😂😂 kama wapo vitani vile kumbe ni kutisha wananchi wasitoke kesho! Safari hii...
20 Reactions
33 Replies
927 Views
October 29 pia channel link ilitolewa mwishoni kabisa na ndio maandamano yakaanza, bila kuwa na app ya kuunganisha waandamanaji ni ngumu sana watu kutoka. Sasa jana kasema watu wadownload zello...
0 Reactions
3 Replies
278 Views
Sio huyo tu, hata Mwigulu hatumuhiraji nae aende makambini akaongee na wabeba bunduki. Hii ndio nchi iliokuwa inaitwa kisiwa cha amani leo inatawaliwa kwa mtutu wa bunduki. Ni aibu na fedheha...
4 Reactions
17 Replies
419 Views
Watanganyika tumejenga tabia ya kutafuta mchawi wa matatizo yetu kila kukicha — tukimlenga kiongozi, chama, au mtu fulani. Wengi leo wanamlaumu Dkt. Samia, wengine CCM, wengine wafanyabiashara, na...
5 Reactions
25 Replies
508 Views
Ndugu Samia Suluhu Hassan ndiye hasa anayefanya kesho tuandamane kwa mara nyingine tena maana hakuna hata moja alilotekeleza. 1. Wafungwa wa kisiasa bado wanashikiliwa 2. Waliotekwa na kupotezwa...
6 Reactions
11 Replies
388 Views
Mchana wa October 29, Serikali kupitia vyombo vyake vya Ulinzi na Usalama vilitoa kauli kwamba ikifika saa 12 watu wawe ndani. Kauli ile kwanza haikutangazwa kwa juhudi za kutosha ili ziwafikie...
20 Reactions
40 Replies
1K Views
Wandugu Nimewaza na kuona kuwa mfumo wa vyama vingi afrika hasa Tanzania ni mfumo unaotumika kuwaibia wazungu pesa. Janja ya kupata pesa za bure za misaada nk. Kwa nini nasema hivi nchi nyingi...
2 Reactions
3 Replies
228 Views
"Watanzania wote heri ya miaka 64 ya uhuru, uhuru wetu ndo maisha yetu. Watanzania siku hii ya uhuru tutafakari safari yetu, tutafakari nchi yetu, tuilinde nchi yetu. Kataa kushiriki matendo ya...
2 Reactions
11 Replies
386 Views
Imagine watu wako ndani hawaruhusiwi kutoka alafu hawawezi kutoka na CCM wao pia hawawezi kutoka na kutumia huduma za mitandao. #SamiaMustGo
8 Reactions
15 Replies
569 Views
Vile vile huu ni ushindi, ni hatua 100 mbele!
8 Reactions
66 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…