Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Nauliza, je ni nchi zipi zilisaini mkataba na nchi yetu wa kubadilishana wakosaji Watanzania kuja kushitakiwa Tanzania?
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Habari yako kiongozi. Nimeona post yako ukitoa msaada kuhusu masuala ya sheria ya kazi na ajira. Kwanza naomba nikupongeze kwa hili, na nizidi kukutia moyo na kukuombea kwa Mungu uzidi...
0 Reactions
1 Replies
844 Views
SABABU 3 ZA KISHERIA ZA KUMNYIMA URITHI MRITHI HALALI. Na Bashir Yakub. +255 784 482 959. Warithi halali ni pamoja na watoto wa marehemu na wake/mke wake halali. Kanuni ya 31 Sheria...
35 Reactions
35 Replies
11K Views
Wakuu kama mada inavyojieleza swala hilo lina uhalali gani kisheria na afya ya mfanya kazi inalindwaje kwa mazingra hayo. Tumekwama.
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Niliingia kwa 50km ph nikiwa na 90 km per hour na kawaida kwenye fifty Kuna pundamilia, Sasa trafiki aliponikamata sikutaka kutoa hela kwa sababu nilikuwa na elfu 4 tuu kwa mfuko, pia kawaida Sina...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Amai iwe nanyi wakuu. Kama swali linauliza hapo juu. Je Mtanzania anaweza kunyongwa nje ya nchi? Kuna wana wanabishana hapa. Wengine wanasema sheria za Tanzania haziruhusu Mtanzania anyongwe...
1 Reactions
4 Replies
987 Views
Wakuu nawaza hapa nini kitatokea kwa mdhamini wa Lissu baada ya mahakama kumtaka mdhamini wake amlete hiyo tarehe mwezi wa December. Kama jamaa atakuja na Lissu sheria inasemaje hapa? Nawasilisha.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni muajiriwa wa kampuni inayofuata sheria zote za kazi. Ninaposimuliwa unyanyasaji unaofanywa na baathi ya waajiri eti kwa sababu wana mkono mrefu waserikali inauma sana. Naizungumzia St...
5 Reactions
33 Replies
22K Views
Wataalam Wa Jukwaa Hili Na Wale Wote Wanajua Kuhusu Idadi Kamili Ya Majaji Mahakama Kuu Inatakiwa Kuwa Na Majaji Wangapi Ili Majukumu Yao Yaweze Kwenda Vema . Na Je Hao Majaji Hufanya Kazi...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari zenu wana jamvi, naomba msaada wa kisheria. Nilinunua eneo Mabwe pande, eneo linaitwa Kinondo kijiji cha Utulivu mwaka 2017. Eneo hili lina documents za serikali ya mtaa ila halina hati...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Nina rafiki yangu Mwalimu, aliambiwa kwa mdomo na Kaimu Mkuu wa Chuo kwamba tarehe 04/11/019 anapaswa kwenda semina iliyopaswa kufanyika Morogoro tarehe hiyo, (aliambiwa kabla ya week 1 ili...
0 Reactions
1 Replies
995 Views
Kuna watu wamevamia shamba langu na kulima kwa nguvu wakidai mimi mwenye shamba sijalilima siku nyingi. Nifanyeje au niwaachie?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kuuliza wanasheria, nilishinda kesi Mahakama Kuu, mdaiwa akapeleka Notice of Appeal Mahakama ya Rufaa na akakaa kimya japo hata notice hiyo hakunisevu. Muda wa rufaa ulipoisha nikaenda...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu mimi nina nyaraka flani ya ardhi, origino imepotea bali nimebaki na kivuli. Je nifanyeje hiki kivuli kikubalike mahakamani? Naomba msaada kwa wanaojua.
0 Reactions
3 Replies
887 Views
Wanajamvi habari. Naomba msaada wenu. Ni sheria ipi inayotoa mwongozo wa taasisi za kibenki na makampuni ya kifedha kupanga riba katika kutoa mikopo? Kuna kampuni maarufu kama Bayport ambayo...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari wakuu, Naomba kuuliza kuhusu hii sheria. Kuna mama angu mdogo amezaa mtoto moja na mumewe ambaye mumewe kwa sasa kafariki huku ameacha watoto wa nje watatu. Sasa shida ni wale watoto...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wana JamiiForums, Kuna ndugu yangu anataka aache kazi. Sababu kubwa ni kwamba muajiri wake hamthamini na anajikuta anafanya kazi ambayo kimsingi hafurahii. Mbaya zaidi wakati anaingia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwanza poleni na pilika za kutafuta lakini pia hongereni kwa ile riziki tuliyoipata, hakika Mungu ni mwema na wa kutumainiwa. Bila kuwachosha, kuna kesi ya ardhi ambayo ipo baraza la ardhi Wilaya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu, Hapa ndiyo sehemu yangu ya kupata maarifa. Naomba kuuliza RB huchukua muda gani kufika ukomo wake? Pia, kesi mahakamani huchukua muda gani kufutwa endapo mtuhumiwa hakuonekana...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Back
Top Bottom