Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Nimekuja kugundua sisi waafrika na watanzania kuandika wosia au will tunaona ni kujichulia kifo, ukweli ni hakuna ambaye hatakufa.Tumeshuhudia mitafaruku mingi hasa mtu mwenye mali akifa huku...
Mfano mwanao umempa jina, mara paah! jina kama hilo lina-trend kimalaya kutumiwa na makahaba na mashoga.
Sheria zinasemaje kuhusu kubadili hasa akiwa kaanza shule?
Au ni namna gani waweza...
Jamaa alikuwa na shamba pori.
Serikali ikalitifaisha kwa sababu ya kutoendelezwa muda mrefu.
Wakauziwa wengine kama viwanja na wana hati za serikali za mitaa.
Miaka mingi imepita, jamaa kaibuka...
Sijajua kama kuna sheria na utaratibu wa kufanya kazi kwenye kampuni ambayo haipo Tanzania lakini wamekuajiri na kukulipa.
Kwa teknologia ya siku hizi unaweza kufanya kazi ukiwa popote duniani...
Tafadhali Watanzania na wana JF, naomba mwenye Judgement (criminal) ya kesi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa anisaidie, nina shida nayo ndani ya siku mbili hizi.
Huyu jamaa...
SHERIA IMERUHUSU KUDAI ZAWADI ULIZOTOA UCHUMBA UNAPOVUNJIKA.
Una mahusiano na mwanaume au mwanamke ambaye kimsingi mpo katika uchumba. Unampa zawadi nyingi naye anakupa zawadi. Mnayo ahadi ya...
Naomba kufahamu kama marehemu ambae ni mume ameacha wosia unaomtambua mke wake ambae ni mama yetu wa kambo kama mmiliki wa mali, je mama huyo wa kambo anaweza kuuza mali alizoachiwa na marehemu...
Labour law in Tanzania is generally employee-friendly and very specific procedurally. An error in the procedure followed can result in a seemingly well-intentioned action being overturned by the...
Wakuu salama,
Nilikuwa na ajira ya kudumu serikalini, nikakopeshwa mkopo mkubwa na bank ya biashara kama salary loan.
Ikiwa makato yote yanafanyika kila mwezi kutoka kwenye mshahara wangu...
Hivi hapa Tanzania kuna cyber crimes unit? Na je mtu kupotosha umma na kuandika uongo kwenye mitandao ni kosa la jinai? The cyber crimes Act section 16 (2015)
Wakuu habari?
Hapa kwetu kuna watu wamekuwa wakija na kujitambulisha kama Afisa wa Usalama hapo mtaani na wanakusanya mchango wa mwezi, nilimpigia simu mtendaji wetu kama anawafahamu hao vijana...
Ni kweli kuapa kunamtakasa mtu? Je, wateule wanaotumbuliwa hawakuapa kufanyakazi Kwa bidii na uaminifu? Je, mtu akiapa ni lazima aseme ukweli? Je, marais madikteta duniani waliapa kuwa madikteta...
Heshima kwenu wanajamvi,
Hivi ni sahihi siku ya PH Jamuhuri kutotaja vielelezo walivyonanyo au watakavyotumia wakati wa ushahidi? Nimeshuhudia kwenye kesi ya ya jamaa yangu PP akisema vielelezo...
Niliwahi Kusoma mahala huko nyuma nikiwa bado mdogo kabisa kuwa kumbe nchini Tanzania kwa mujibu wa Katiba yetu kama Kiongozi wa juu ama akiwa Mgonjwa au ameaga dunia au ameonekana uwezo wake wa...
Ndugu zangu katika jukwaa la sharia, Salaam.
Naomba nitumie ukurasa huu kuomba ushauri wenu wa kisheria, mimi ni kijana (mwanaume) mwenye umri wa miaka 34, nina mke mmoja na watoto wa tatu (wakike...
Ni kwamba kuna dada yangu ameolewa na jamaa wamepata mtoto mmoja ila tatizo ni huyu shemeji yangu. Hataki kufanya kazi yoyote, Yeye ni msomi lakini inafikia wakati hata hela ya Diapers hawana...
Habari ma great thinkers,,naswali emoji (😁) maarufu kama hiyo, kuna watu wajua kutumia bila kuandika sms ,,ikaleta maana, kukutuna,,kukutongeza mke,,mtoto au chochote cha upande wa kushawishi...
Naomba wajuzi mnisaidie kuhusu hii haki ya mfanyakazi inayoitwa severance anapewa mtu mwenye sifa gani?
Na hili ni takwa la kisheria au ni hisani ya mwajiri?
Kama hijapewa unafanuaje?
Ahsanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.