Uozo uliopo St. Mathew's secondary school | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uozo uliopo St. Mathew's secondary school

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by minjingu, Apr 24, 2012.

 1. m

  minjingu Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mimi ni muajiriwa wa kampuni inayofuata sheria zote za kazi. Ninaposimuliwa unyanyasaji unaofanywa na baathi ya waajiri eti kwa sababu wana mkono mrefu waserikali inauma sana. Naizungumzia [FONT=&quot]St. Matthew’s secondary school (mkuranga-coastal region)[/FONT] kongowe mkuranga. Yaani nilielezewa ikaniuma sana. Shule hii imeajiri degree levels wengi sana lakini haifuati sheria za uajiri. watu wanafanya kazi miaka kadhaa kwa mikataba ya penceli. Hivi juzi kuna dada mmoja alikuwa mjamzito tangia mwezi wa tano wakaanza kumsumanga, oo wewe ni mjamzito na hujaolewa kwa hiyo umejifukuzisha kazi mwenyewe. mwingine amejifungua akiwa maternity leave akakutana na phone call ya redundance. hamna cha kukatwa kodi, hamna kujiunga na mifuko ya hifadhi. mishahara yenyewe wanapewa mkononi ili kukwepa kodi. kama kuna mwandishi yeyote wa habari, mwanasheria au kiongozi wa serikali mkereketwa naomba afuatilie hii sule.
   
 2. M

  Megawatt B JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nakuja
   
 3. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hii si ndio ya yule JW mstaafu MUT""""EI?
   
 4. mka

  mka JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 318
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwani hao wafanyakazi hawajui kuna sheria za kazi?
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Siamini hao walimu kama wana degree kweli? Yani hawajui taratibu za kazi? Au walienda kuomba tempo? Wawashitaki hao uongozi wa shule,sheria za kazi mama mzazi atapewa maternity leave ya siku 90 sasa kama amefukuzwa atafute wanasheria wamsaidie na pia next time ukiajiriwa na kama hauna mkataba nenda wizara ya kazi wakavamie hapo shule ghafla
   
 6. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  ukituliza brain utagundua matatizo haya yanasababishwa na wafanyakazi wenyewe kwa kuendekeza njaa.

  UMOJA NI NGUVU (ilikuwa hivyo jana, iko hivyo leo na itakuwa hivyo kesho)

  Wafanyakazi waungane, wadai mikataba na mafao wanayostahili. Ikishindikana wagome, shule ifungwe.

  Sisi Watanzania ni watu wavivu kwenye mambo muhimu. Si ajabu watu hao hao ni mabingwa wa kuchangiana na kuungana mkono kwenye harusi na kitchen party, lakini kwenye haki zao ...ZERO!

  TUBADILIKE!
   
 7. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Utakuwaje na degree na bado upelekwe kama hujasoma?
  kosa ni la hao walimu
  OTIS
   
 8. m

  minjingu Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tatizo mwenye shule ana mkono wa serikali. hata hiyo wizara ya kazi itagonga mwamba kwani wataishia getini. haiwezekani awe na kiburi namna hii.
   
 9. m

  minjingu Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  haswaaaaaaaaa
   
 10. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Mmiliki wa shule hiyo ana roho mbaya kuliko shetani, aliwahi kukata bomba la maji safi la shule ya jirani na yake akaunganisha bomba la maji machafu so wanafunzi wa shule jirani na kwake wakawa wanatumia maji machafu bila kujua, madogo waliharisha sana mpaka kuja kujua chanzo ilikuwa balaa.
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ada ni kiasi gani?
   
 12. m

  minjingu Member

  #12
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mimi naona dawa ni kumuwajibisha. hata wakimtetea. acha hilo tu, alishawahi kuwashikia walimu bastola. ni kweli hawa walimu waliopewa redundance illegaly wana haki ya kushtaki ila wengi wao wanaogopa kuingia mikononi mwa huyu dictator. mweye uwezo wa kuwasaidia hata ki ushauri wawasaidie. nashikwa na hasira kumuacha huyu dictator
   
 13. m

  minjingu Member

  #13
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  more than 1000000. Externally ile shule ni kubwa na watoto wengi wa viongozi wa juu husoma pale
   
 14. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  forget about 'watoto wa wakubwa, mkono wa serikali, ana bastola, etc' GET ORGANISED, STAND UP FOR YOUR RIGHTS, or shut up and keep suffering till doons day.
   
 15. b

  baraka boki Senior Member

  #15
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 181
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  mwenye hiyo shule anaitwa mutembei au papaa mutembei
   
 16. m

  minjingu Member

  #16
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  i will make sure nitamuwajibisha
   
 17. sakasaka

  sakasaka Senior Member

  #17
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  milioni 1.5 kwa O'level
  milioni 1.7 Advance


  HUDUMA MBOVU KWA WANAFUNZI! NA MANYANYASO
   
 18. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #18
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sule nzuri hiyo!
   
 19. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #19
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Huyo mwenye iyo shule ni muhaya mmoja anaitwa mtembei aka papa mtembei anaroho mbaya kama ya mbwa mwi2 kwa anatabia mbaya ya kutembea na wafanyakaz alitembea na kumdinya matron wa a level anaitwa renada,huyu mtembei anapenda kusifiwa kama Mungu anakabendi kake kanacho msifia kwa ujinga by the way yeye ndie mkusanyaji kodi wilaya mzima ya mkulana mwizi mkubwa
   
 20. m

  minjingu Member

  #20
  May 2, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mimi ninachoona siyo fair kukubali m2 anyanyase binadamu wengine kwa sababu kabila lina tabia hiyo. cha muhimu ni kumuwajibisha
   
Loading...