Idadi Haswa Ya Majaji Wa Mahakama Kuu Na Mahakama Ya Rufaa Huwa Wangapi ?

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
49,008
54,283
Wataalam Wa Jukwaa Hili Na Wale Wote Wanajua Kuhusu Idadi Kamili Ya Majaji


Mahakama Kuu Inatakiwa Kuwa Na Majaji Wangapi Ili Majukumu Yao Yaweze Kwenda Vema .
Na Je Hao Majaji Hufanya Kazi Mikoani Na Kurudi Dar es Salaam Ama Waendapo Mikoani Kwenye Majukumu Huishi Huko

Kuhusu Majaji Wa Mahakama Ya Rufaa Hutakiwa Kuwa Na Majaji Wangapi?

Na Ikiwa Pia Mnajua Viongozi Wa Juu Wa Serikali Wanaotumia Vyeo Vyao Hadi Kwenye Magari Siyo Vibaya Pia Tukawafahamu Kama Majaji Vile Gari Zao Zilivyo Na Vibao Vyenye Vyeo

J 3 = Jaji Wa Tatu
J R = Jaji Wa Mahakama Ya Rufaa
I G P = Inspector General Of Police
 
Mkuu BJBM
Shukrani Sana Imekaa Vizuri Hii Kumbe Ni Viongozi Wengi Wa Kutosha Kabisa
 
Lakini pia nadhani baadhi ya mikoa haina kabisa Majaji, ilipaswa kila mkoa uwe na Majaji lkn bado kuna upungufu mkubwa!

Naamini unapo mtoa jaji Dsm kwenda kuhudumia mkoa mwengine kwa muda ni gharama kubwa sana!
Kunahaja serikali ikateua Majaji wa kutosha ili kukidhi mahitaji na pia kupunguza gharama zisizo za lazima
 
Back
Top Bottom