Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Mimi ni mwajiriwa kwenye kampuni ila nilikuwa bado sijapewa mkataba na niliambiwa baada ya miezi sita ndio muda wa majaribio utaisha. Kabla ya miezi sita kuisha, ikiwa ndio kwanza nina miezi...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Nina ndugu yangu alikuwa na kesi alishitakiwa kwa wizi wa matunda toka shambani. Aliyemshtaki ni mvamizi katika shamba hilo. Huyu ndugu yangu alikuwa anachunga matunda yake. Mvamizi huyu wa shamba...
0 Reactions
0 Replies
682 Views
Naomba wajuzi wanifahamishe iwapo unataka kumuachisha mtu kazi, na iwapo hajaenda likizo miaka 5 unapotengeneza mafao yake unaingiza na malipo ya likizo zote 5?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau naomba kwa wenye uelewa juu ya hili suala. Mzazi alikuwa mfanyakazi wa shirika moja linaitwa PLAN INTERNATIONAL hapa Dar, alifariki mwaka 2014. Baada ya msiba ndugu wakakaa kikao wakamteua...
3 Reactions
74 Replies
9K Views
Habari za muda wakuu. Katika pita pita zangu nimekutana na hii Sheria, kuna baadhi ya vitu najiuliza. Naomba muongozo kutoka kwa ndugu zetu wataalamu wa sheria. “Kwa mujibu wa Sheria ya Ajira na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimegundua vinywaji nilivyonunua jana kutoka dukani kuwa vimekwisha matumizi yake (expired). Je, naweza kufungua kesi au wapi mahala husika pa kupeleka malalamiko yangu?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau kuna ndugu yangu alikuwa mnufaika/alipata mkopo wakati anasoma masomo ya elimu ya chuo kikuu miaka ya nyuma. Kwa sasa ni marehemu, je Sheria inasemaje ili afutiwe deni lake? Nawasilisha.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu mdogo wangu ana kesi ya jinai. Hearing ni tarehe 2 Desemba. Nimepitia na kusoma maelezo ya mlalamikaji na kukuta kuna paragraph zinatofatiana na charge sheet iliyoko mahakamani. Mfano...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi, Kuna mtu wangu aliandika maelezo mwezi wa sita mwaka 2019 na mlalamikaji akaandika maelezo yake mwezi Desemba mwaka huohuo. Ni sahihi? Mshitakiwa afanye nini?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jamvi, Tangu awamu ya tano iingie madarakani, kumekuwa na malalamiko mengi ya wafanyakazi kuondolewa kwenye nafasi zao kinyume cha sheria na wengine kuteuliwa kushika nafasi mbalimbali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1 Reactions
56 Replies
7K Views
Katika nchi yoyote msingi wa uendeshaji wa nchi unategemea Katiba. Katiba ni sheria kuu au sheria mama katika nchi yoyote. Sheria nyingine zote zinategemea au zinatungwa kwa mujibu wa katiba...
2 Reactions
4 Replies
41K Views
Wakuu wa jamvini habari zenu? Napenda kujua je kuna tatizo kama nikisainishana mkataba na dereva wangu wa boda boda mbele ya Mjumbe wa Nyumba 10 badala ya kumtumia mwanasheria? Natanguliza...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Niende kwenye topic moja kwa moja. Katika harakati za kujikwamua kimaisha vijana kadhaa tukawa tumeingia mkataba wa kupangishwa nyumba na jamaa, mwenye nyumba. Na kama mjuavyo mikataba hii ya...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mimi nilikuwa naomba msaada wa Sheria ya kuomba kupewa barua ya utambulisho kuwa ulishafanya kazi kwenye kampuni uliyoacha kazi, au kuachishwa kazi kwa kusingiziwa kuwa mfanyakazi umeiba na huku...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Ilitokea pale Bondeni darajani kwenda Tegeta kuna daladala iling'olewa namba zote za mbele na nyuma na dereva aliyekuwa anaendesha gari ya zto Kinondoni. Je, sheria inasemaje kuhusu kosa la kutoa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba kama kuna mtu anamjua mtu aliyewahi kufanya utafiti baina ya sheria ya ndoa ya Tanzania na sheria ya kiislam kwa lugha ya kiarabu au ya kizungu. Naombeni msaada kumfikia na kama...
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Kuna mkandarasi wa ujenzi nimefanya nae kazi miezi mitatu kwa makubaliano kwamba zikitoka hela TANROADS ndio anilipe. Lakini cha kushangaza hela zimetoka kanigeuka na hataki kunipa pesa yangu, na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wafanyakazi wa Fastjet wameipeleka Fastjet CMA wakiomba walipwe stahiki zao za tangia mwezi February. Ili kufanikisha malipo hayo, wafanyakazi waliomba zuio mahakama kuu kitengo cha kazi ndege...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom