Utata muda wa kazi: Bosi amenitaka nifanye kazi 12hrs kila siku kwa siku nne mfululizo ndio nipumzike siku tatu

Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
8,172
2,000
Wakuu kama mada inavyojieleza swala hilo lina uhalali gani kisheria na afya ya mfanya kazi inalindwaje kwa mazingra hayo. Tumekwama.
 
Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
7,156
2,000
Wakuu kama mada inavyojieleza swala hilo lina uhalali gani kisheria na afya ya mfanya kazi inalindwaje kwa mazingra hayo. Tumekwama.
Kawaida mfsnyakazi anatakiea kufanya kazi masaa 40 kwa wiki,
Sasa masaa 12 kwa siku nne maana yake unafanya kazi kuanzia jumatatu hadi jumamosi kwa mpangilio wa masaa nane ya kazi kwa siku. Ndo maana tunapaswa tujiajili asee..., Mdai fidia
 
Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
25,485
2,000
Wakuu kama mada inavyojieleza swala hilo lina uhalali gani kisheria na afya ya mfanya kazi inalindwaje kwa mazingra hayo. Tumekwama.
Mkuu, ebu wakati mwingine ifike waTanzania tuache tabia za uvivu.
Ikiwa kama kweli unaipenda kazi yako na unaifurahia, then nawewe ukaona kabisa kwamba boss anataka target flani ifikie kwenye kazi yenu..... Kweli umeahindwa kuvumilia kufanya kazi for 12 hrs hadi uje uombe ushauri hapa..??
Ebu turudi kwenye uhalisia, je nikweli ukifanya kazi masaa 12 × 4 utapata madhara ya kiafya..??
Je ingekuwa ni kazi yako binafsi na unataka kufikia malengo, nikweli ungelalamika kuhusu hayo masaa 12 × 4..??
No.... Please
Minadhani hauna upendo na pengine hauna furaha na hiyo kazi..
Nakushauri tu tafuta kazi sehem nyingine ama anzisha biashara yako ili uwe unafanya kwa jinsi utakavyo jiskia
 
Domhome

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
2,496
2,000
Wakuu kama mada inavyojieleza swala hilo lina uhalali gani kisheria na afya ya mfanya kazi inalindwaje kwa mazingra hayo. Tumekwama.
Binafsi nafanyakazi wiki 4 then naenda OFF wiki 2...tena kazi ni masaa 12 @ siku....Kazi yenyewe ina day na night shifts.
KOMAA TU HIYO NI ROSTER NZR MNO !!
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
8,172
2,000
Binafsi nafanyakazi wiki 4 then naenda OFF wiki 2...tena kazi ni masaa 12 @ siku....Kazi yenyewe ina day na night shifts.
KOMAA TU HIYO NI ROSTER NZR MNO !!
Hahahaaaa Swali langu nimeuliza uhalali wa kisheria wa ratiba hiyo, kazi unaweza kufanya hata mwaka mzima bila off
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
8,172
2,000
Kawaida mfsnyakazi anatakiea kufanya kazi masaa 40 kwa wiki,
Sasa masaa 12 kwa siku nne maana yake unafanya kazi kuanzia jumatatu hadi jumamosi kwa mpangilio wa masaa nane ya kazi kwa siku. Ndo maana tunapaswa tujiajili asee..., Mdai fidia
Sawa kabisa na kisheria iko halali?
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
15,854
2,000
Mkuu kuna mtu kasema ujiajiri nashauri usifanye hivyo maana kujiajiri ndiyo kazi utaanza saa mbili asubuhi halafu kumaliza saa nne usiku.

Mi nashauri uliza kwa hapo ofisini unatarajiwa ufanye kazi kwa saa ngapi kwa wiki kisha zistandardize ili zikupe favour unayotaka. Pia angalia kama hiyo standardization italeta output inayotarajiwa na ofisi.
 
Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
5,885
2,000
Mkuu, ebu wakati mwingine ifike waTanzania tuache tabia za uvivu.
Ikiwa kama kweli unaipenda kazi yako na unaifurahia, then nawewe ukaona kabisa kwamba boss anataka target flani ifikie kwenye kazi yenu..... Kweli umeahindwa kuvumilia kufanya kazi for 12 hrs hadi uje uombe ushauri hapa..??
Ebu turudi kwenye uhalisia, je nikweli ukifanya kazi masaa 12 × 4 utapata madhara ya kiafya..??
Je ingekuwa ni kazi yako binafsi na unataka kufikia malengo, nikweli ungelalamika kuhusu hayo masaa 12 × 4..??
No.... Please
Minadhani hauna upendo na pengine hauna furaha na hiyo kazi..
Nakushauri tu tafuta kazi sehem nyingine ama anzisha biashara yako ili uwe unafanya kwa jinsi utakavyo jiskia
Watazania tuna katabia cha kivivu. Haya masaa 12; ondoa moja la kula mchana utapata masaa 11. Kwa siku nne ni masaa 44. Sheria ya kazi ime weka limit ya masaa 45 kwa wiki hivyo hakuna sheria iliyovunjwa.

Faida ingine huyu mlalamikaji ana siku mbili za kufanya shughuli zake binafsi ukiondoa siku yake moja ya ibada.
 
rudovick

Member
Nov 27, 2014
45
125
Mkuu, ebu wakati mwingine ifike waTanzania tuache tabia za uvivu.
Ikiwa kama kweli unaipenda kazi yako na unaifurahia, then nawewe ukaona kabisa kwamba boss anataka target flani ifikie kwenye kazi yenu..... Kweli umeahindwa kuvumilia kufanya kazi for 12 hrs hadi uje uombe ushauri hapa..??
Ebu turudi kwenye uhalisia, je nikweli ukifanya kazi masaa 12 × 4 utapata madhara ya kiafya..??
Je ingekuwa ni kazi yako binafsi na unataka kufikia malengo, nikweli ungelalamika kuhusu hayo masaa 12 × 4..??
No.... Please
Minadhani hauna upendo na pengine hauna furaha na hiyo kazi..
Nakushauri tu tafuta kazi sehem nyingine ama anzisha biashara yako ili uwe unafanya kwa jinsi utakavyo jiskia
Uko sahihi sana mkuu

Katika mazingira ya kazi ukianza kutafsiri sheria moja moja mwisho wa siku mfanyakazi ndio anaumia.

Ukishakua na tabia za kivivu muda wote unaangalia opportunity za kupata off time. So anachokitaka mleta mada ni tabia ya uvivu
 
CHOKAMBOVU

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
716
500
Mkuu, ebu wakati mwingine ifike waTanzania tuache tabia za uvivu.
Ikiwa kama kweli unaipenda kazi yako na unaifurahia, then nawewe ukaona kabisa kwamba boss anataka target flani ifikie kwenye kazi yenu..... Kweli umeahindwa kuvumilia kufanya kazi for 12 hrs hadi uje uombe ushauri hapa..??
Ebu turudi kwenye uhalisia, je nikweli ukifanya kazi masaa 12 × 4 utapata madhara ya kiafya..??
Je ingekuwa ni kazi yako binafsi na unataka kufikia malengo, nikweli ungelalamika kuhusu hayo masaa 12 × 4..??
No.... Please
Minadhani hauna upendo na pengine hauna furaha na hiyo kazi..
Nakushauri tu tafuta kazi sehem nyingine ama anzisha biashara yako ili uwe unafanya kwa jinsi utakavyo jiskia
Kuna neno uzwazwa sijui linaweza kuleta maana kwa reply hii? Kuna haja gani ya kuwepo kwa sheria zinazohusu ajira Kama mtu mmoja kuwa na sheria zake kinyume na zile zilizokubaliwa. Mkataba wa kazi unasemaje? Tujaribu kuvaa viatu vya wenzetu tusikimbilie kusema NI uvivu na kwamba watanzania ni wavivu. Lengo la bosi sio lengo la mfanyakazi unataka kutimiza lengo lako angalia makubaliano mliyowekeana. Kimsingi hii imenitokea hata Mimi niligoma na nikamwambia bosi anipeleke kwenye vyombo vya kinidhamu ili tupate mwafaka mpaka leo yuko kimya na tunaenda kibubu bubu. Tusiwe wanyonge kiasi hicho
 
Top Bottom