Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari zenu wakuu?
Samahani moods MSIUFUTE HUU UZI WALA KU BAN.
Mimi nime kuwa najiuliza, kwa Wananchi wa BUHIGWE (kama sija kosea)
Hivi karibuni Mheshimiwa Rais SAMIA SUHULU HASSAN amemteua DR...
samahani sana wana jf nilikua nahitaji msaada wenu kidigo kwa yoyote anaye jua,
Nimekua nikijiuliza sana kuhusu swala la NSSF.
mimi nilikua mfanya kaza katika company furani hapa dar es salaam na...
Naomba kufahami haya mtu anapokuwa kwenye Baraza la ardhi la Kata.
i] Kuna idadi maalum ya maswali ya kumuuliza shahidi anapomaliza kutoka ushahidi?
ii] Iwapo mdai/mdaiwa/shahidi anapotoa...
Poleni majukumu humu jamvini.
Naomba kujua sheria ya kumtoa mpangaji alieshindwa kulipa kodi. Je unatakiwa kumpa notice ya muda gani?
Kwasasa hajalipa kodi ya mwezi January na ameingia mwezi wa...
Hivi kuna uwezekano wa watu au mtu binafsi kufungua kesi mahakama kuu kuishtaki serikali. Mfano, Waziri wa afya alitamka kuwa serikali haina mpango wa kuagiza chanjo ya korona.
Serikali inaweza...
Habari wadau!
Kuna mpangaji wangu amechukua hatua ya kwenda kushitaki na kuomba muafaka ili arudishiwe kodi yake baada ya wezi kuingia chumbani kwake na kumuibia baada ya kusahau kufunga mlango...
Habari za muda wana jamvi,
Nimatumaini yangu kuwa kila mmoja yuko powa kabisa na mapumziko yake ya siku ya leo.
Nimeona nije huku jukwa la sheria mana ndio mahala sahihi juu ya swala langu...
Habari wakuu,
Kuna ndugu yangu alimgonga mama mmoja na gari na wala hapakua na zebra yule mama alivuka tu ghafla, akavunjika mguu akamtibu mpaka akapona lakini yule mama akadai alipwe milion 2...
SHERIA YA MISIBA YA VIONGOZI WA KITAIFA YA MWAKA 2006.
Bashir Yakub, WAKILI
+255714047241.
1. NANI VIONGOZI WA KITAIFA.
Kifungu cha 3, viongozi wa kitaifa ni Rais, Makamu wa Rais, Rais wa...
Wanabodi hili suala ni changamoto kubwa sana katika jamii.
Utakuta binti anaanza mapenzi bado mdogo, tena yupo primary school au secondary school. Wazazi wanajua nini kinaendelea. Maana binti...
HAKI NA WAJIBU WA MUME NA MKE KATIKA NDOA KISHERIA SEHEMU YA 1
Maana ya ndoa
Ndoa maana yake ni muungano wa hiari kati ya mwanaume na mwanamke unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao yote...
Mwajiriwa aliyefukuzwa kazi kwa kosa la wizi kisha akaenda kufungua mgogoro wa kikazi CMA na kushinda kesi. Je, baada ya hapo anaweza kumfungulia kesi Mwajiri wake kwa kosa la kumchafulia jina?
Nimepitia mengi magumu mpaka napunguzwa kazi.
Naenda moja kwa moja ktk mada. Nilikuwa nimeajiriwa katika Tasisiflani ambayo ipo Dunia nzima.
Mwisho wangu wa kufanyakazi ilikuwa ni wiki hii...
Baba yangu mdogo alikuwa na mke mmoja na watoto watatu na mjukuu mmoja baba na mke wake walitangulia kufariki, baada ya muda kidogo akafariki mtoto mmoja kwa sasa wamebaki watoto wawili na mjukuu...
Naombeni Msaada wenu,
Nimempeleka ustawi wa jamii mwanamke alienizalia mwanangu ili ikiwezekana anipe mwanangu nimlee mwenyewe kwani mazingira anayoishi nae mwanangu hayaniridhishi. Lakini Ustawi...
Mwanamke anapoachika au kupewa talaka kisheria ipo hivi
(1) Una Haki Na Mali Mlizochuma Pamoja; Hiki ni kitu cha kwanza ambacho unatakiwa kukifahamu, kuwa kama mkewe una haki ya kila mali...
Msaada wa kisheria nitolewa mahali na kuishi na mwanaume miezi sita kabadilika hataki ndoa tena. Je, tukiachana kijadi nikipata mtu mwingine hataweza nisumbua?
Na nifanye nin kuepukana na adhaa hiyo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.