Msaada wa kisheria katika suala hili la ndoa

Martinrose

Member
Mar 12, 2021
5
2
Msaada wa kisheria nitolewa mahali na kuishi na mwanaume miezi sita kabadilika hataki ndoa tena. Je, tukiachana kijadi nikipata mtu mwingine hataweza nisumbua?

Na nifanye nin kuepukana na adhaa hiyo?
 
Kumtolea mtu mahari hailalishi lazima umuoe, kama hatakuoa akidai mahari mnaweza msimpe vile vile ila pia haikulazimu kurudisha taking it as sunk cost ni kama tu umelipa ada chuo A na ikatokea unaenda kusoma chuo B hiyo ada ndiyo imekwenda hivyo na maji
 
Nyie wanawake bana, mwanaume hawezi kubadilika hivi hivi kuna vitu umemfanyia ambacho hajapendezwa nacho.

Kisheria kama mwanaume kadhamilia kukuacha yeye mwenyewe basi hapo hatokusumbua kwa lolote. Na hawezi kudai mahari.

Jiangalie kwanini umetoswa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom