Hivi kwa hili Sheria/ katiba inasemaje?

Admin1988

JF-Expert Member
Mar 30, 2017
1,111
2,000
Habari zenu wakuu?

Samahani moods MSIUFUTE HUU UZI WALA KU BAN.

Mimi nime kuwa najiuliza, kwa Wananchi wa BUHIGWE (kama sija kosea)
Hivi karibuni Mheshimiwa Rais SAMIA SUHULU HASSAN amemteua DR. PHILPO ISDOR MPANGO Kuwa makamu wa Rais na Tulio wengi TUME SHANGILIA.

Ila kwa uzoefu wangu mdogo, makamo wa Rais hato ingia tena BUNGENI kama Mbunge, na hivyo WANANCHI WAKE KUKOSA MWAKILISHI KAMA MBUNGE,

Sasa je, Hapo Sheria au Katiba ina semaje kwa hili??
Kuta kuwa na Uchaguzi mdogo? Au itakuwaje hapo??

NAOMBA WAJUVI WA MAMBO MTU SAIDIE
Asante naomba kuwasilisha.
FB_IMG_16174691434979508.jpg
IMG-20210401-WA0003.jpg
FB_IMG_1617215260350.jpg
 

M kathias

JF-Expert Member
Jun 13, 2017
2,590
2,000
Yes true!!
Ibara ya 76(2)
"Hali kadhalika, kutakuwa na uchaguzi wa Mbunge katika jimbo la uchaguzi, ikiwa kiti cha Mbunge yeyote aliyechaguliwa kuwakilisha jimbo hilo kitakuwa wazi kwa sababu nyingine yoyote isiyohusika na kuvunjwa kwa Bunge. "
 

Admin1988

JF-Expert Member
Mar 30, 2017
1,111
2,000
Ibara ya 76(2)
"Hali kadhalika, kutakuwa na uchaguzi wa Mbunge katika jimbo la uchaguzi, ikiwa kiti cha Mbunge yeyote aliyechaguliwa kuwakilisha jimbo hilo kitakuwa wazi kwa sababu nyingine yoyote isiyohusika na kuvunjwa kwa Bunge. "
Haya ndiyo majibu....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom