Naweza kupata mafao ya NSSF nikiwa na namba bila kadi

MountFX

New Member
Mar 13, 2021
2
1
samahani sana wana jf nilikua nahitaji msaada wenu kidigo kwa yoyote anaye jua,
Nimekua nikijiuliza sana kuhusu swala la NSSF.

mimi nilikua mfanya kaza katika company furani hapa dar es salaam na nimetumikia hapo kwa miaka miwili mwaka wa kwanza sikuingizwa katika system ya nssf lakini nilivyosaini mwaka mwingine wa pili nikaingizwa kwenye huduma ya NSSF.

nilijaza lile kalatasi la ngano nikapeleka pale ubungu plaz walinipa mda kidogo baada ya week mbili wakanitumia namba yangu ya nssf kupitia simu yangu nikaiwakilisha ofisini na michang yangu yote ikaingizwa huku.

ulipita mwezi nilienda pale ubungu plaza kuulizia kadi yangu ya nssf lakini waliniambia watanitumia sms ilikua kila nikienda wananiambia watanijulisha mpaka ukapita mwaka mmoja sijapata kadi yangu

MSAADA WANGU UPO HAPA SASA.
mwaka umepita na namba tu sina kadi ya NSSF na nilipokua nafanya kazi nimeacha baada ya mkataba wangu kuisha kwaiyo pale NSSF namchangu wangu wa mwaka mmoja na nikiangalia kwenye system yao naona pesa zangu zipo kabisa hivi je naweze kuenda kufatilia mafao yangu bila kua na kadi kwamaana hapa na namba tu kadi sina naweza kufanikiwa kupata mafao yangu kweli.
 
Ndugu mjumbe sasa hapo mbona ni rahisi tu, si umetaka ushauri? Cha kufanya sasa fika tu pale ubungo plaza ofisi za NSSF Kinondoni kwa ajili ya kufungua madai yako, inawezekana ukakutana na kitambulisho chako cha uanachama huko huko ukiwaulizia na kuendelea na kufungua madai yako. Nenda mzee hiyo ni haki yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shukran ndugu nitafanya ivyo mkuu
 
Back
Top Bottom