maruudaniel
JF-Expert Member
- Dec 19, 2020
- 888
- 1,067
Nimepitia mengi magumu mpaka napunguzwa kazi.
Naenda moja kwa moja ktk mada. Nilikuwa nimeajiriwa katika Tasisiflani ambayo ipo Dunia nzima.
Mwisho wangu wa kufanyakazi ilikuwa ni wiki hii ambayo ni jana. Katika kufanya kazi ktk hii tasisi nimekuwa na madai ya muda mrefu sana kwa madai yenyewe ni kama haya :-
Niliwahi kubadilisha daraja kupitia Meneja na baada kunisaini documents za kunibadilisha Daraja nilichukua muda bila ya kupata barua na mabadiliko ya Mshahara baada kufuatilia bila majibu kwa njia ya kuongea na kuandikiana Email.
Ilinibidi niende hatua nyingine kwa Bosi wake huyu Bosi aliniahi kunifanyia mabadiliko ya Mshahara pia nako niliendelea kufuatilia kwa kuongea na kuandika Email mara nyingi sana bila majibu kama sheria tasisi inavyosema email ndio kila kitu ktk maamuzi.
Lilivyoendelea kuchukua muda zaidi lilipekea kufika kwa Head of Hr na baada kufika huko Bosi aliitwa pasipo mm kuwepo ktk hicho kikao lakini Head of HR aliniandikia Email ya kuwa swala langu analifanyiakazi na baada ya muda kidogo na Bosi wangu naye aliniandikia Email akiniambia niache kumwandikia email kwani swala liko kwa Head of Hr kwa hiyo kuanzia hapo nikawa natuma Email kwa Head Hr kwa ajili ya kuulizia.
Ilipita kama miezi mitatu alinifuata Bosi wangu kwa akiwa new Job Description ili niisaini nilimkatalia kuisaini kumwambia siwezi kuisaini kwani madai yangu ya mwanzo hayaja fanyiwa kazi.
Na kama unataka nisaini nitumie kwa Email kama ilivyokawaida ili nimuulize Head of H juu hili yaani niisaini au la.
Baada kuona vile hakuwa na la kufanya zaidi aliacha hilo swala.Nilikaa tena kwa muda mrefu kidogo alinifuata tena na kuniambia kama hutosaini hii leo naomba kesho usije huku kazi kwani nilimjibu sawa na muda wa kuondoka nilimuuliza kesho Head ofisi niende kwa nani hiyo kesho alinijibu ya kuwa hakuna haja ya kwenda tena kwani haina haja tena.
Muda ukaenda hata head HR
aye hakunipa majibu ya madai mpaka akaondoka kwenda ktk Tasisi nyingine bila kufanyia kazi madai yangu.
Ndo akaja mwingine kwa ajili ya kushikilia hiyo nafasi kwa muda ila niliambiwa hili swala alilizungumzia yy na bosi wa bosi wangu ila sikuelezwa kiundani walichokizungumza.
Baada ya muda Job Description nilikuja kuisaini baada mfanyakazi mwenzangu alihamishwa kitengo kingine baada na yy kufanyiwa uonevu na huyu bosi HR ikabidi ingilie kati baada ya kuona ameshaanza kwenda ktk vyombo vya sheria ikawabidi wamwombe.
Kwa hiyo nafasi kazi yake nilianza kuzifanya baada ya kufanya kwa muda sikuona mabadiliko ya Mshahara vile niliendelea kufuatilia pasipo majibu sio kuonge wala kwa Email.
Kilichofuata aliendelea kuni reti vibaya na malalamiko ya madai ya mwanzo na haya ya mwisho niliendelea kufuatilia pasipo majibu.
Baada majadiliano kuwa marefu kwa njia ya simu na email, Mtu HR aliyekuwa katika huo mjadala aliingilia kati hili swala na kuomba kuanda kikao na Head HR mpya hiki kikao nilijitajidi kukumbushia ya kuwa kitafanyika lini lakini sikujibiwa muda mrefu baada wa muda wa miezi mitano hivi nipo ktk kikao cha kujadili maendeleo ya utendaji kazi wa mwaka huu mwezi November nilimuuliza tena bosi juu ya madai yangu alinijibu bado yanafanyiwa kazi nikamwambia hili swala naomba mlichukulie kwa uzito kwani linaniumiza hata kuumwa kwangu linachangia pamoja tatizo la kuumwa kwangu lilitokana Mazingira niliyokuwa nafanyia kazi kwa muda mrefu.
Kesho yake kama saa tatu Bosi wangu alinitumiea Email ya kuwa leo kuna kikao na Head HR saa nane na muda ulipofika gari ilifika kutuchukua na kuelekea kwenye kikao Mjini Posta.
Tuliwasili ktk kikao Head of HR alimwambia Bosi wangu anaweza kuanza ilinibidi niwaombe kujua kikao kinahusu nini.
Nilijibiwa na Bosi wangu kinahusu kupunguzwa kazi.
Bosi aliongea kwa majadiliano ya muda kunielezea kile Tasisi itanilipa kwa ajili kuondoka na akamaliza nikatakiwa Mimi kuongea kuhusu haya maamuzi.
Niliwauliza kama natolewa natolewa kwa Mshahara huu ninaolipwa sasa au nitalipwa kwa Mshahara wa Mdai yangu ya siku nyingi.
Head of HR alinijibu yakuwa yeye hayajui madai yangu kwa hiyo aniomba kama nina madai niyawasilishe kwa wahusika huko nje ya nchi wakayafanyie kazi.
Nilipotoka pale ikanibidi nikazipitie Email kama huyu Bosi Hr hakuwa amekopiwa na baada kujiridhisha muda kazi uliisha niliondoka ili kesho yake nijeniandike hiyo Email ya madai huko nje kwani nilitakiwa niiandike kabla mwezi mmoja niliopewa.
Lakini cha ajabu nilipotoka pale nilienda kupata ajili ya kugongwa na Pikipiki na Kuvunjika na majeraha mengine mengi na POPII nililiondolewa wiki mbili zilizopita. Kwa hiyo mpaka narudi ofisini ule muda wa kuandika Email ulishapita.
Hii ni part 1 itaendelea baadaye.
Asante sana.