Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,360
Jana kumetokea tukio la Kihistoria na la kwanza katika nchi za SADCC kutiwa sahihi kwa sheria ya gharama za uchaguzi. Swali kubwa ni je kutia shahi peke yake kunaweza kuifanya sheria ifanye kazi? Hapa chini ni baadhi tu ya sheria ambazo zipo na hazijawahi kufanya kazi mpaka leo;
1. The Registration and identificatopn of Persons Act 1968.
2. Agricultural Development Fund Act 1984
3. Agriculture Products 9 Control of Movement Act) 1966
4. Sheria ya kuzika Viongozi 2007
Mwanan JF Kama unazijua sheria zingine ambazo zimo kwenye vitabu na hazifanyi kazi hebu zitundike ili tuone kama hii ya jana inaweza kufuata muelekeo wa sheria zisizo na kazi kwenye vitabu vyetu vya sheria.