Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Alex Bitekeye And Frank Aman
16 June 2011
Dar es Salaam. - Opposition politician Christopher Mtilika is demanding $150 million (about Sh225 billion) compensation from the government for alleged...
Former Vice President Gilbert Bukenya has moved to block the Inspector General of Government from prosecuting him before the Anti-Corruption Court, saying that his actions during the purchase of...
leo nilikuwa nafatilia bunge wakati linapitisha sheria ya fedha ya mwaka 2011 lakin mwenendo alioutumia Mweshimiwa Makinda kukataa mabadiliko yaliyopendekezwa na Dhambi na Tundu Lisu na Mnyika...
Inasemekana kuwa ile meli iliyokamatwa ikivua kwenye pwani yetu ilipata kibali toka Zanzibar, sasa nini kilitokea hadi washindwe kuonyesha kibali hicho mara tu walipokamatwa hadi ikapelekea kesi...
Tuesday, 21 June 2011 19:41 newsroom
NA HAMIS SHIMYE
BALOZI wa Tanzania nchini Malaysia, Abdul Sisco Mtiro, leo atahojiwa na Baraza la Maadili, kutokana na kutowasilisha tamko la mali na madeni...
Kuna dada tuko naye ofisini, alizaa na jamaa yapata miaka mitano iliyopita! Wakati mtoto ana miezi 4 jamaa akaoa mwanamke mwingine bila kumwambia mzazi mwenzie wa awali! Huyu dada alipata fununu...
Hivi karibuni nilisikia kuwa Mahakama imetoa amri ya kukamatwa Askofu, baada ya kukiuka amri ya kusitisha ku ordain Askofu wa Jimbo la Arusha. Kimsingi kesi iliyotolewa interim order hiyo ni...
Hivi karibuni nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana na nimeshindwa kabisa kupata jibu kamili kwa matazamo wangu ulikuwa ni tofauti kabisa na ninayoyaona sasa yakitendeka.
Kwanza kabisa nilidhani...
Ni swala la aibu kubwa kwa taifa letu, wananchi wanapouwawa na matokeo yake kuitwa wahuni na majambazi. Serikali ya CCM imekuwa aibu tupu.Ijumaa , Spika wa Bunge la muungano la Tanzania Mh. Anna...
Mimi ni wakili wa kujitegemea nauliza hivi hizi power alizopewa dpp ni nani anauwezo kisheria kuzitengua.kwa mantik inajulikana ni rais the point is how and under which law msaada plz
Kuna habari ameipost JOHN Mnyika kwenye acount yake ya Facebook kuhusu serikali kuficha mgomo wa wafungwa kutokula kwa siku tatu,hapa ninatumia simu ndio maana nikashndwa kuiweka hapa,kama vipi...
breaking news.........Mahakama ya Arusha yatoa hati ya kukamatwa kwa askofu mkuu wa Angrikana dr valentino mokiwa kutokana na kukaidi amri ya mahakama ya kutomsimika askofu
wana JF wenzangu. habarini.
niliachishwa kazi na muajiri wangu kampuni binafsi 3yrs ago. hakuwa akiniwekea chochote NSSF japo alikuwa akinikata 10% ya mshahara wangu mda wote nikiwa ktk ajira...
FORMER Vice-President Prof. Gilbert Bukenya was yesterday charged before the Anti-corruption Court over the botched Chogm 2007 car deal. He denied the charge.
In the second case, however, his...
walinikamata hawakuninyanyasa hawakunipiga walakunifanyia kitendo kibaya chochote,walinilinda wakithamini uongoz wangu kwa taifa letu,alisema mbowe kwenye taharifa ya habar ya itv .
jaman...
Nimekuwa nikifuatilia mjadala katika vikao vya bunge hasa la bajeti ambapo wabunge hupata nafasi ya kuchangia kwa dakika zisizopungua kumi kiukweli kuna wabunge wakisimama kuchangia hotuba na mimi...
Wanasheria jana nilikuwa sehemu na bugia maji ya ilala ukazuka ubishi meza ya jirani kuhusu neno original na genuine na pia kuhusu neno warrant na genuine.
Original na genuine linaweza kuwa la...