Samaki wa Magufuli

Mshangaaji

Member
Jul 3, 2007
12
0
Inasemekana kuwa ile meli iliyokamatwa ikivua kwenye pwani yetu ilipata kibali toka Zanzibar, sasa nini kilitokea hadi washindwe kuonyesha kibali hicho mara tu walipokamatwa hadi ikapelekea kesi ichukue muda mrefu hivyo?. Wasiwasi wangu ni kwamba mafisadi wamejipanga kucheza game nyingine ya kutaka kula pesa za walipa kodi. Endapo hawatakutwa na hatia then what next! Ni kuishtaki serikali na kudai fidia ya matrilloni, I can smell a rat here.
 
Hahaha! hiyo ndo Tz, kila kitu kwa viongozi wetu ni mission town! Ramani ilishachezwa ikaonekana tundu la kutokea ni Zenj. Ngoja tusubiri, lakini nachelea kusema wanaotuibia katika nchi yetu tunawajua, tutawaomba wazirudishe fedha za umma pindi muda utakapofika.
 
Magufuli anahujumiwa na Kikwete, na hii kesi itaisha kwa gvt kuwa looser, na hiyo itatumika kama fimbo dhidi yake wakati wa kampeni za urais.
 
Hahaah ! Kilaza yule, anatafuta fursa kwakujirahisi, damn ! Ila ukweli umemfikia.Magufuli anahujumiwa na Kikwete, na hii kesi itaisha kwa gvt kuwa looser, na hiyo itatumika kama fimbo dhidi yake wakati wa kampeni za urais.
 
Jamani jamani... uvuvi sio moja ya mambo ya muungano, hapo hata JK amepoteza!! Magufuli was right kukamata hiyo meli!! Tunajua kuwa anataka kumhujumu lakini is not right kwani ashajua kuwa anawaza kugombea!!
 
Dah.......lakin last week kwa walioangalia news itv.....mwenendo wa kesi unavyoenda we r looser....wachina now wananawiri na kuchekelea
 
Back
Top Bottom