Rutakyamilwa
JF-Expert Member
- Feb 27, 2009
- 1,872
- 1,235
Wadau walio Court of Appeal, , kama kuna mwenye nakala ya hukumu ya mfungwa msomi aliyeshinda juzi aturushie. (yule aliyesoma LLB akiwa gerezani)
Hivi ni kweli kashinda? Kama kweli hongera zake na nina imani atakuwa raia mwema.