Bunge la makinda na The Financial Act 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge la makinda na The Financial Act 2011

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by mbasajohn, Jun 22, 2011.

 1. mbasajohn

  mbasajohn JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  leo nilikuwa nafatilia bunge wakati linapitisha sheria ya fedha ya mwaka 2011 lakin mwenendo alioutumia Mweshimiwa Makinda kukataa mabadiliko yaliyopendekezwa na Dhambi na Tundu Lisu na Mnyika sijaufurahia maana unageuza bunge kuwa puppet wa serikali na serikali kuwa watunga sheria kitu ambacho si kizuri kwa masirah ya taifa letk
   
Loading...