Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Jamani mshahara wa pongo ni sh ngapi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wananchi wa Nkasi wataka gongo ilihusiwe kikatiba Waionaje hii hoja? source mwananchi leo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwanza mods naomba wanisamehe kwa kuweka hii mada jukwaa ambalo sio lake kule jukwaa la sheria sijui kesi ni nyingi mahakamani naweza post kitu kisipate hata majibu Anyway Nilikuwa naomba...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habarini, nilipata mtoto miaka 9 iliyopita bila kufunga ndoa na baba wa mtoto. miaka 5 baadae alifunga ndoa na mwanamke mwingine. lakini tangu nipate ujauzito matumizi ya mtoto yalitolewa kwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
salaam wana jamii naomba kujuwa kuhusu pesa ya kujiki,u wakati unapo ajiliwa,mimi nimeajiriwa hivi karibuni nataka kujuwa sheria inazungumziaje kuhusu haya malipo.nitalipwa pesa yote ya mwezi kama...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
rule of law ni suluhisho la matatizovyooooooooooooote
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Mme wangu ni mwanasheria Jaji, lakini sipendi kuishi naye tena kwani kwa dogo dogo hashikiki. je, nitumie njia zipi kuvunja ndoa? Nina ushahidi mwingi sana wa msg nilizozikamata, pia zingine...
2 Reactions
75 Replies
8K Views
katika pita pita yangu nimekutana ni issue ya mahakimu wanafunzi (interns) wakiwa wanasikiliza Kessy na hata kuitolea maamuzi (hukumu) baada ya kuisikiliza. mawali ninayojiuliza bila majibu Je...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wiki ijayo tume ya katiba mpya itakuwa mtaani kwetu. Naomba wanajf mnambie ni mambo yapi yaondolewe kwenye katiba iliyopo na mambo yapi yawekwe kwenye katiba mpya. Naomba mchango wenu...
0 Reactions
0 Replies
894 Views
wadau mimi kama mpenda amani,jana niliweka uzi hapa jamvini kuelezea matukio ya uchomaji moto mazizi ya nguruwe ambayo yameanza wiki 3 zilizopita.katika muendelezo wa matukio haya juzi makanisa...
0 Reactions
112 Replies
11K Views
Ni katika imeili yao waliyowatumia wanachama wao. Imeili ina walakini. Imeshazua gumzo mjini. Ni hii: Dear valued member, Please pass below information to your networks; The Council for Legal...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nigerian villagers sue Shell in landmark pollution case Enlarge PhotoReuters/Reuters - A view of the shore of the Atlantic ocean at Orobiri village,days after Royal Dutch Shell's Bonga...
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Hi JF funs! I would like to get from those who know the following in respect to the above mentioned subject, 1..je kuna sheria ngapi zinazo govern uendeshaji kesi katika baraza hili hapa TZ? na ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Does anyone know if Tanzania has a law protecting whistleblowers?
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani mtaani kwangu hakuna mjumbe wa Nyumba kumi aliye "official" lakini mara nyingi huwa kesi ndogo ndogo naletewa mimi kuzipatia ufumbuzi kutokana na umri wangu. Kuna hii nimeletewa jana na...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
wanajf kuna kitu sielewi hivi inachukua mda gan mfanyakazi wa mkataba ambae ni kama kibarua kuja kuwa mwajiri wa kudumu; na hiki kitu kipo sana kwenye makampuni,utakuta mtu amefanya kazi zaidi ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nashindwa bkuilewa tume ambayo iliundwa na waziri kuchunguza kifo cha aliyekuwa,mwandishi wa habari wa chanel ten,iliunndwa ili baada ya uchunguzi itoe matokeo ya uchunguzi wao,lakini badala yake...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Baada ya kuona ripoti mbili uchwara (ile ya MCT na ya Ihema) ninashawishika kufuata nyayo za Mtikila kuiburuza serikali kwa pilato. Bila kuchukua hatua thabiti mambo haya yataendelea kuwepo sana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukiisoma ripoti nzima ya Mauaji ya Mwangosi unapata picha yenye majonzi makubwa sana. Ripoti hii iliyoandaliwa chini ya uenyekiti wa Jaji Ihema sio kwamba inasikitisha tu bali inafedhehesha. Jaji...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Ndugu, Wakati binti ndogo wa miaka sita (6) anacheza na wenzake alirusha chupa na chupa hiyo ikamgonga na kumgo'a meno mawili mtoto mwenzake wa miaka 7 aliyekuwa anacheza naye. Swali: Mzazi au...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom