Je, naweza kuishtaki serikali kwa kumuua Mwangosi?

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,651
588
Baada ya kuona ripoti mbili uchwara (ile ya MCT na ya Ihema) ninashawishika kufuata nyayo za Mtikila kuiburuza serikali kwa pilato. Bila kuchukua hatua thabiti mambo haya yataendelea kuwepo sana kama alivyoainisha Manumba kule Iringa. Wadau nipeni ushauri na taasisi ninayoweza kuishirikisha maana mambo haya pia hayataki kuingia kichwa kichwa. JF muongozo......
 
Back
Top Bottom