Nisaidie kwa hili jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidie kwa hili jamani

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by WILSON MWIJAGE, Oct 3, 2012.

 1. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu,

  Wakati binti ndogo wa miaka sita (6) anacheza na wenzake alirusha chupa na chupa hiyo ikamgonga na kumgo'a meno mawili mtoto mwenzake wa miaka 7 aliyekuwa anacheza naye.

  Swali: Mzazi au mlezi wa mtoto aliyerusha chupa;
  1. Anawajibika vipi kisheria?
  2. Ni mzigo kiasi gani anapaswa kuubeba?
  3. Ni sheria ipi / vifungu vipi atashitakiwa navyo na kumtia hatiani? AU
  4. Ni sheria ipi / vifungu vipi vinampa uhuru wa kuwa huru

  Nitashukru sana
   
 2. nameless girl

  nameless girl JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 3,905
  Likes Received: 715
  Trophy Points: 280
  ngoja nirudie mwadaftali ntakuja tena
   
 3. amba.nkya

  amba.nkya JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 431
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Mambo ya watoto ni vyema wazazi mkaa pamoja na mkaelewana kabla ya kutafuta sheria zinasemaje.

  My Take:
  Inawezatokea pia siku nyingine mtoto wako akamuumiza mtoto wa jirani yako, itakuwaje hapo?
   
 4. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu,

  Ni kweli, ni vema wazazi wakakaa pamoja NA ni kweli mtendewa kosa naye anaweza kutenda kosa na pengine kubwa zaidi ILA nilichokiomba ni kuhusiana na sheria inasemaje.
   
 5. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  That is Negligence to the side of parents.Wazazi wote wako liable kila mzazi ana "duty to care" her children,hao wazazi wamewaacha watoto wao kucheza na vitu hatari halafu wanashitakiana, na wanajua nature ya watoto kuweza kutofautisha jema na baya.mzazi wa mtoto aliyejeruhi agaramie matibabu.
   
Loading...