wanasheria nisaidieni; inachukua mda gani kutoka kibarua hadi kuitwa mwajiriwa ;!!!!

Carla

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
398
331
wanajf kuna kitu sielewi hivi inachukua mda gan mfanyakazi wa mkataba ambae ni kama kibarua kuja kuwa mwajiri wa kudumu; na hiki kitu kipo sana kwenye makampuni,utakuta mtu amefanya kazi zaidi ya mwaka lakini ikitokea misunderstanding ndogo tu boss anamwambia kibarua 'nitakuteminate' watu wamekua wakitishiwa hivyo na kukosa amani wakati mwingine ni mtoto mdogo tu lakin anawatishia watu na familia zao hicho kitu personally nimekishuhudia "naombeni ufafanuzi ili watu wajue nini wanapaswa kufanya
 
Uwe kibarua au mfanyakazi wa kudumu haki na sheria za wafanyakazi zinakugusa na kukutetea kikamilifu.
Na katika ajira kuna mikataba ya aina 3
1.Mkataba wa kazi maalum
2.Mkataba wa wa muda maalum sana sana kwa na fasi za juu
3.Mkataba wa kazi wa kudum

Sasa uangalie wewe unaangukia wapi hapa.
Lakini sheria inakulinda kwa mapana na marefu sawa na mkataba wako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom