Ukitaka kujua hukumu za jaji steven ihema zilivyokuwa kwa muda wa utumishi wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukitaka kujua hukumu za jaji steven ihema zilivyokuwa kwa muda wa utumishi wake

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mkwawa, Oct 10, 2012.

 1. Mkwawa

  Mkwawa JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 160
  Ukiisoma ripoti nzima ya Mauaji ya Mwangosi unapata picha yenye majonzi makubwa sana. Ripoti hii iliyoandaliwa chini ya uenyekiti wa Jaji Ihema sio kwamba inasikitisha tu bali inafedhehesha.

  Jaji ni mtu anayeheshimika sana duniani kwa weledi wake wa kusimamia haki, kutenda na kuishi haki lakini sio kwa Jaji Ihema. Akiwa kama Jaji kwa miaka kadhaa aliyeketi kwenye bench la kusikiliza kesi zenye pande zote za kutoa ushahidi akitumia vifungu vya sheria na kuhakikisha mawakili wamewakilisha vizuri wateja wao, huku akitumia sheria za nchi na hukumu mbalimbali ndani na nje ya nchi ili kuamua kw haki. Leo anadhibitisha bila mawaa maneno ya mwanasheria mahiri kwamba jaji huyu alikuwa hawezi sio tu kusikiliza kesi bali hata kuandika hukumu.

  Ukisoma ripoti iliyoandaliwa yeye akiwa kama jaji mkuu wa Nchimbi utashangaa je wangapi wako jela kwa kukosa Jaji wa kutoa maamuzi au kuwa na uwezo wa kukusanya ushahidi wa pande mbalimbali??? Kama kaandika ripoti kwa maelekezo ya nini aandike kwanini tusirejee hukumu zake kuona ni wangapi wako jela kwa kuonewa???

  Kama ni njaa basi hii ni kali. Kwa maneno yake Jaji Ihema aliwahi kusema kesi nyingine zinaamuliwa na simu ya Ikulu leo naamini kaandikiwa ile ripoti na Nchimbi kwa manufaa ya kisiasa zaidi sio kutafuta ukweli.

  Theophil Makunga yeye kwa makusudi kabisa kaamua kuwasaliti waandishi wenzeka. Tukio zima halikuwa la CDM na polisi; polisi walikwenda Nyololo kuuwa waandishi wa habari full stop. CDM mnajitahidi kuwaingiza kwenye kasheshe tu, polisi walitafuta uwanja mzuri wa kutimiza azma yao. Kinachoshangaza ni T. Makunga ambaye naye ni mwandishi tena alishiriki kulaani yale mauji ya polisi leo katoa ripoti kama vile kachukuliwa msukule kutoka mwezini na kwenda mars.

  Kweli T. Makunga ripoti ya wenzeka chama cha waandishi wa habari ambayo naamini uliijua kabla na jinsi walivyohoji watu na kukusanya kila aina ya chembe ya habari na kutafuta balanced report kama mlivyofundishwa kwenye taaluma yenu, kuooanisha matukio nk kweli mlishindwa?? Video picha wananchi nk kweli mlishindwa kuvitumia kukusanya ripoti. Sasa hiyo ripoti kazi yake ni nini??? haina maana hata kidogo.

  Hizi tume za kusaidiana ili kumalizia nyumba au kustaafu zinaangamiza taifa. T. Makunga na Jaji Ihema historia haitawaacha huru kamwe itawahukumu tu kwa usaliti wa damu ya mtu asiye na hatia.

  Unafiki ni dhambi kubwa sana na ndio shimo la umasikini wetu.

  Chief Mkwawa wa Kalenga
  Kuuwa watu wangu na kuandaa ripoti baa mnafedhesha sana, chuki mnayoijenga kwa wananchi ni kubwa sana.
   
 2. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Huyu ndio jaji kilaza kabisa hapa Tanzania! hata majaji wenzake wanalifahamu hilo! yaani ni kilaza kupita kiasi! ana uwezo mdogo hata first year wa sheria udsm wanamfunika ile mbaya.
   
 3. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,440
  Likes Received: 9,090
  Trophy Points: 280
  Only God is the Judge
   
 4. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Inasikitisha na inafedhehesha. Kwa namna tukio lilivyotokea, watanzania walitarajia makubwa. Kama tatizo ni suala kuwa mahakamani hilo walilijua so kwanini hawakusitisha uchunguzi wa kamati hizo ili kuipsha mahakama ifanye kazi yake? Nimegundua sababu ya wananchi kujichukilia sheria mkononi!
   
 5. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Wa Tanzania tunakazi kwelikweli
   
 6. s

  slufay JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Jaji ihema ni jembe la serikali na ni mzalendo kweli njaa ya wasomi wetu sasa mwenzenu kashastaafu mnataka dewaka aliyopewa. Asipate twena
   
 7. s

  slufay JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wasomi tz hadi raha! Chakula cha wanasiasa
   
Loading...