subsistence allowance kazini

web engineer

Member
Mar 19, 2012
55
0
salaam wana jamii
naomba kujuwa kuhusu pesa ya kujiki,u wakati unapo ajiliwa,mimi nimeajiriwa hivi karibuni nataka kujuwa sheria inazungumziaje kuhusu haya malipo.nitalipwa pesa yote ya mwezi kama pesa ya kujikimu wakati naanza kazi au siku 14 au 7?
naomba msaada na kufungu cha sheria
asanteni
 
Mbona hujasema kama umeajiriwa serikalini au kwenye kampuni binafsi? Kama ni serikalini fedha ya kujikimu ni siku 7 na kiwango kinategemeana na Elimu/Mshahara wako na sehemu ulipoajiriwa mfano Jiji, Manispaa, Mji, Wilayani au sehemu nyingine
 
Nyosha maelezo yako vizuri ili ueleweke tukusaidie,umeajiliwa wapi?
 
Kwanza tunatakiwa tujue mkataba wako wa kazi una sema nini?
 
Back
Top Bottom