Nataka kuvunja ndoa yangu; mme amezidi kwa dogo dogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kuvunja ndoa yangu; mme amezidi kwa dogo dogo

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by MBILIA, Oct 13, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. M

  MBILIA Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mme wangu ni mwanasheria Jaji, lakini sipendi kuishi naye tena kwani kwa dogo dogo hashikiki. je, nitumie njia zipi kuvunja ndoa? Nina ushahidi mwingi sana wa msg nilizozikamata, pia zingine zinaonyesha tayari isha oa bila taarifa yangu.

  Sasa pia anatishia kunifukuza ili niondoke bila haki yangu. Tuna watoto watano, ndoa ina miaka 21. Watoto wetu wawili wako vyuo vikuu. Lakini naona ananidhalilisha kadri ninavyoendelea kuishi naye. Mf wa simu hizo ni huu hapa.

  "My cervix hurts rite now gudnite", na nyingine ni hii, "Mz wng mm nll sj hk n s ngp s 2?nmb ull slm nmkmss mme wng mpndw? Nktk usngz mwm'.

  hizo ni chache kati ya nyingi.

  Kuna simu nyingi mno majina ya kiume ukipiga ni wasichana.

  Naombeni msaada wa kisheria. Huyu ni Mheshimiwa Jaji wa Mahakama kuu. Dar es salaam kitengocha ardhi.
   
 2. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Pole mama yetu, watakuja wajuzi muda si mrefu wakushauri
  usisahau kinga ukutanapo nae otherwise unaweza jikuta unaanza tembe bila ridhaa yako
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Kama ni kweli huyu Jaji anatutia shaka kama anaweza kutoa haki.
   
 4. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  MBILIA;

  mama unataka msaada wa nini sasa? TUKUSAIDIE NAMNA YA KUVUNJA NDOA AU nini?

  nakushauri kitu kimoja cha muhimu sana na ambacho wengi wanaweza wasikwambie. naomba vumilia, miaka 21 ulioishi nae si michache, ni mingi sana sana. na hajaanza leo kutoka nje ya ndoa, pengine alitoka hata kabla hamjafikia miaka miwili kwenye ndoa enzi hizo, hadi leo...meshakuwa wazee tayari, na mna watoto wako chuo. jua kuwa lolote utakalolifanya kuvunja ndoa hii na ktk hatua yeyote ile, halitawaathiri ninyi wawili tu, litawaathiri na watoto wenu na litaweka historia mbaya sana kwenye familia yenu miaka yenu yote. nashangaa unaona msg izo tu halafu unataka kuvunja ndoa. kuna wanawake wenzio wengi walishawakuta kitandani kabisa lakini walivumilia kuendelea na ndoa. bora hata mbadilishe vitanda kila mmoja awe na kitanda chake lakini muendelee kuonekena mmeoana. kwa watoto muonekana hamgombani ila nyie tu ndo mnajua kuwa kila mmoja ana lala kitanda chake huko ndani kama ndo unaogopa ngoma.

  kuna rafiki yangu mmoja ana miaka 30 sasaivi, amesoma marekani na hapa. ni mmoja wa watoto wa watu wakubwa tu hapa. mama yake na baba yake waliachana kwa talaka. lakini wale watoto hadi leo hawana raha. hawapendi kusikia kitu kinaitwa ndoa, hata mkiwa kwenye maongezi tu wakaona mnaongelea jinsi wazazi wenu wanavyopendana au wanavyofanya mambo pamoja, anaondoka kwasababu ametengenezewa kidonda cha maisha...kwamba wazazi wake walipeana talaka na yeye ni mtoto wa familia ya talaka.

  jaji ni mtu mkubwa tu. jua kuwa, talaka utakayoenda kuiomba mahakamani, itatokea kwenye magazeti, mtajiaibisha tz nzima kwasababu jaji lazima atavumishwa tu na vyombo vya habari. watoto wako watanyoshewa vidole kuwa wazazi wanapeana talaka hawapendani, itawaathiri hata masomo yao hata kama ni wakubwa. sisi watoto huwa hatupendi wazazi watengane hata kama tunawashuhudia wanapigana kila siku home hata mbele yetu. kuna raha sana kuishi na baba na mama nyumba moja kama familia, kuliko kuishi mmoja yuko kule mwingine kule na wamepeana talaka.

  ninyi mmeshakuwa wazee, zeekeni pamoja tu. unataka uzeeke na nani? nani atakukuna mgongoni mkono usipofika? unafikiri utapata mzee mwenzio sasaivi? pia, jaji ni jaji. mimi ni mwanasheria...kifupi ni kwamba wanasheria wote huwa tunateteana hata kama ukienda mahakamani, ujue yeye ana watu wengi kuliko wewe, sio kwamba namtetea, ila nisemacho ni kwamba, ujue mahakimu wote utakaopeleka kesi ya talaka yeye ni bosi wao, na watakuwa upande wake, sasa sijui wewe utakuwa na nani, kupambana na jaji mahakamani ni sawa na kupambana na mamba kwenye maji.....mamba majini anawezavuta hata gari, ila nchi kavu hawezi...jaji mahakamani ni kigongo kikubwa sana, ila kwenye mambo mengine ndo anaweza kuwa hana lolote....utakachoambulia hapo ni pale tu yeye akiamua kujifanya mjinga siku ipite, ila ukiona ameamua kula na wewe sambamba, anaweza kukusumbua sana na utaishia kujiaibisha tu na kumwaibisha yeye na watoto wako tu. yaani hapo tunachosubiri toka kwenu ni nyie kuanza kuanikana wee mnajianika mbele ya umma wa watz na watz wakiwacheka tu. cha maana, kaa chini tulia, vumilia, tengana naye kitanda, ila usithubutu talaka. kwanza ni kosa kubwa sana, Mungu hapendi kuachana. uzeeke naye, kama umevumilia miaka yote hiyo, unashindwa nini ssasaivi? ILI WEWE, WATOTO WAKO NA MME WAKO MSIJIANIKE KWENYE UMMA WA WATZ, NAOMBA USIOMBE TALAKA...utajiaibisha tu na utakufa mapema kwa kuumia moyo kwasababu watu hata kama hampendani, kuachana huwa kunaleta stress mbaya sana hata ujizuie namna gani utajikuta umepata kama sio pressure, sukari magonjwa kibao.utapoteza marafiki wengi, utavuruga hata ukoo, ugomvi huo utaenea sehemu kubwa sana utajuta.

  halafu, ukiachana naye ndo ataoa kabisa uyo kimada. pia, ujue kuwa, inawezekana kawekewa madawa tu ya libwata, hajui alifanyalo, dawa ikiisha, atarudi kwako akipiga maggoti na kukushukuru kwa kumvumilia..kwasababu si wote wanaotoka nje ya ndoa au wanaooa dogodogo wanakuwa na akili zao, wengine wamevutwa na madawa tu. ushauri huu ni dhahabu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  MBILIA

  Nenda kwa Jaji Mkuu/ Jaji kiongozi. nakupa mfano: Kuna jaji mmoja ambaye alikuwa anafanya mambo kama hayo, tukamshauri aende mke wake kwa Jaji Mkuu amshitaki/amlalamikie kama usuluishi. Ilisaidia, jaji aliacha upuuzi angalau yale ya kukataa kutunza watoto, kutaka kumfukuza alikoma. jaribu njia hiyo.

  Ikishindikana tafuta mwanasheria akuongoze. Una haki zote kisheria kugawana chochote mlichopata pamoja-matrimonial assets. Nitakupa reference cases ambazo landmark cases katika tanzania kuhusiana na mgawanyo wa mali kati ya mme na mke. If you like just PM. Pole sana
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Mla nawe hafi nawe ilia mzaliwa nawe!!!!!. CCM sio mama Yangu alisema Nyerere. Kama mapenzi yameisha basi, SANA SANA KINACHOFUATA NI UKIMWI-YOTE YANAWEZEKANA. And in most cases watu kama hao wanatembea na bar maids ambako maambukizi ya ukimwi ni makubwa. Atafakari sana. Jitu lina malaya kibao, TAFAKARI, CHUKUA HATUA
   
 7. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  poleni kwa hili sisi tutaoa kweli kwa hizi style maana nashindwa
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  jipe muda utapa jibu unatakiwa ufanye nini usichukue maamzi kwasasa kwani inaonyesha una hasira baadaya kuona hizo namba za simu na sms..
   
 9. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  ungevaa viatu vyake ndio ungeeleweka

  Hujui pain and humiliation kaisi gani anapitia huyo dada....

  kwenye mateso hakuna too late, ndio maana mandela alikaa jela for years but when he got out, he felt as free as a bird

  Mbilia hajachelewa, ni fikra za kitumwa zinazoonyesha mwanamke hawezi kuishi peke yake au hana thamani, she can live signle and yet successful and everything

  PIA ANAHITAJI MWANAUME WA KUMPA RAHA NA SIA KARAHA

  TUSISAHAU LA HIV IWE AMESHAPATA MAAMBUKIZI AU LA
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  mmmhh, sijui unapitia nini lakini kwa mie siwezi muanika mme wangu hivi.
  Hawara sawa nitamwamnika, mme hell no.

  Ni aibu yako, ya watoto, ya ndugu zako, ya ndugu zake, na yeyey mwenyewe.

  Kama umeshindwa, kwa nini usifanye maamuzi na kuondoka na kushirikisha familia zenu ukapata haki zako??
  Umeamua kumuabisha ili akome? Haikusaidii kwa kweli.

  Kwa details ulizotoa hapa sijui magazeti ya udaku yapate, yamwanike ukurasa wa mbele, unadhani watoto wako watasoma huko chuo kwa wiki nzima.

  Nimekukasirikia sana wewe mama, ume-act kama mala.ya aliyechukuliwa na mwanamme kwa usiku mmoja, kamwaga mboga umemwaga ugali. Nadhani nafasi ya mke wa ndoa ni zaidi ya hicho ulichofhanya.

  Unaamini watu wa hapa kuliko hata nduguzo? Nina maswali kibao, umenishangaza kama mke wa kiaka 21 anaweza fanya hivi.

  Kosa la umalaya limefuta wema wake mwingine wote aliowahi kufanyia hadi kumvua nguo hivi? Hebu mkumbuke tangu day 1 anakutongoza, hadi mnaoana, hadi mnapata watoto, hakuna jema hata moja??

  Umenikumbusha story ya biblia, abrahamu alivyokuwa anambembeleza malaika wasichome sodoma na gomora. Hata ukikuta watu wema 20, utachoma mji, malaika anajibu hapana, nitawasamehe.

  Wewe nawe umekosa hata jema moja la kumsamehe mmeo? Afu usipende kupayuka ukiwa na hasira utajuta siku moja.
   
 11. Access Denied

  Access Denied JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 640
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Ngoja nijipange kidogo maana niko kwa breakfast hapa.
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,349
  Likes Received: 19,530
  Trophy Points: 280
  Ni wazi kuwa mama hataki kuvunja ndoa ila anataka kurudishiwa mume wake
   
 13. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Ndoa za siku hizi zinashida sana,na utwandawazi huu ni balaa zaidi ni kupiga magoti na kusali kuvumilia sana sana
   
 14. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  hii sio ndoa ya siku hizi mkuu!miaka 21 hawa watu wamelala chini hya paa moja!
  wana watoto 5,wapo chuo kikuu!
   
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  Oct 13, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mhhhhhh
   
 16. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mmmh ndo maana sitembeagi na waume za watu mie
  wapi global publisher?
  eheheeee hao mahawara watakomaje?
  acha iwe mbaya mama sema sema!
   
 17. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #17
  Oct 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  jaji kaleta balaa
   
 18. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #18
  Oct 13, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  LoL!!! umalaya uzeeni......ngoja nikazibe pancha kwanza
   
 19. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #19
  Oct 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kuna matatizo kibao katika familia na kunao hata wanaopitia mabaya zaidi kuliko yako.. binafsi sioni kama ni sahihi kuangaza such an issue kwa mtandao. this is more of a family issue.. deal nayo na jamaa na familia yako. hata ukimuanika ki hivi it wont change him
   
 20. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #20
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  It really pains. Go for three days fasting, you will get an answer
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...