Haki zangu ni zipi iwapo nikikamatwa na polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haki zangu ni zipi iwapo nikikamatwa na polisi

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by C.T.U, Oct 11, 2012.

 1. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Kwanza mods naomba wanisamehe kwa kuweka hii mada jukwaa ambalo sio lake kule jukwaa la sheria sijui kesi ni nyingi mahakamani naweza post kitu kisipate hata majibu

  Anyway

  Nilikuwa naomba mwongozo wa kujua haki zangu pindi ninapokamatwa na polisi kwa makosa mbali mbali

  Kuanzia polisi wa usalama barabarani

  Polisi wa kawaida

  Na wale tigo wale

  Na kama kupekuliwa, kuhojiwa, kupelekwa mahabusu au kituoni ni haki zipi ambazo zinasimama kuni back up na polisi anatakiwa afuate procedure zipi??

  Yaani wenye ufahamu, na uelewa wa haya mambo tusaidiane
   
 2. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  angalia kwenye website yao. Ila kwa msaada zaidi soma signature yangu hapa chini :argue:
   
 3. S

  Sangomwile JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 3,091
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  ITV walikuwa na kipindi leo inayohusu hiyo kitu,nadhani ni mida hiyo hiyo uliyopost hii mada.
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Haki yako ni kupigwarisasi na kufa.
   
 5. dada white

  dada white JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Una haki ya kukenua hadi kutuo cha polisi.Natania bwana mi mwenyewe nataka kujua.
   
 6. Fyong'oxi

  Fyong'oxi JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aisee inaelekea wewe ni ASKARI tena hujitambui au ni gamba gumu! Askari wa usalama barabarani Kumpiga raia!!?? kweli njagu wewe hujitambui. Askari ni lazima umuonyeshe mtuhumiwa kitambulisho chako, Unamuelezee raia kosa analotuhumiwa kabla ya kumu arest! Hamjifunzi Majeshi ya nchi zingine yanavyo watreat watuhumiwa? maana kazi ya polisi sio kuthibitisha kosa, hiyo ni kazi ya mahakama.
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  wanasheria mbona mnatuangusha? Mko wapi? Au busy kugonga mihuri?
   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,700
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Kwanza
  *unatakiwa usiteswe!( kupigwa, kusulutishwa)
  * utakiwi kulazimishwa kutoa ushahidi.
  *unatakiwa ukamatwe na askari mwenye uniform au kitambulisho.
   
 9. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,749
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Jamani angalia kwenye mada za mwanzo hapo juu.
   
 10. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Umeamka nazo kichwani?
   
Loading...