rule of law

Utawala wa sheria unaendana na kutii sheria bila kuzipindisha ndipo suluhu ya matatizo yanapatikana!

Utawala wa sheria haumaanishi wachache kuwa juu ya sheria eti kisa wamezitunga bali kuziheshima na kuzifata hizo sheria.
Rule of law huweza kuwa suluhu kwa matatizo yanayo sababishwa na kupindishwa kwa sheria au yanayo hitaji mkono wa sheria.

Rule of law uenda sambamba na no one is above the law, hapo ndipo suluhu ya matatizo inaweza patikana.

NB jaribu kuweka mada yako vyema, ikiwezekana hiwekee nyama.
 
Back
Top Bottom