ujapitia mabonde na milima ndugu yangu ndo maana unasema leaving haina maana.Sijajua kwa siku hizi ila kipindi mimi namaliza o level, leaving ulikua unairekebishia hapo hapo shuleni kwakua wao ndiyo watengenezaji.
Rudi shule, ingia ofisi ya mwalimu wa taaluma mueleze hilo swala. Ila leaving haina maana yoyote kama una cheti.
Ndiyo nikasema kama una cheti.ujapitia mabonde na milima ndugu yangu ndo maana unasema leaving haina maana.
mtoa Nada nenda shuleni watakurekebishia tu.
Leaving unapeleka wapi kwani. Hiyo hata ukiichoma haina tatizo. Labda kwa kumbukumbu tu ila sijawahi kuona matumizi yakeNilijaza leaving cert. kimakosa kwenye tarehe badala ya 7 nilijaza 17. Swali je nifuate hatua gani ili tarehe niziweke ziwe sawa. Ahsante
HabariNilijaza leaving cert. kimakosa kwenye tarehe badala ya 7 nilijaza 17. Swali je nifuate hatua gani ili tarehe niziweke ziwe sawa. Ahsante
Samahani naomba kuuliza uliweza kurekebisha hizo tarehe kwenye leaving certificate?Habari