Kumshitaki mhitimu

clearmind

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
424
724
Good morning wapendwa,,,
Naombeni msaada wa kisheria katika Hili. Kuna mtu nimekutana nae na kufahamiana nae. Elimu yake ni ngazi ya diploma(uhasibu) lakini ufaulu wake KIDATO Cha nne ni daraja la nne pointi 28.

Matokeo haya yanajumuisha "F" ya hesabu. Pamoja na matokeo hayo, Bado hawezi kuzungumza na kuandika Kwa lugha ya kiingereza. Nimekuta na maswali mengi kuhusu ufaulu wake chuoni Hadi kupata cheti Cha diploma.

Ikiwa lugha ya kufundisha ni kiingereza na mitihani hutungwa Kwa lugha ya kiingereza, alifaulu Kwa miujiza gani? Nahitaji msaada wa kisheria, kama naweza kumshitaki yeye pamoja na chuo kilichomthibitisha kuhitimu Kwa ngazi hiyo.
 
Kuna mtu umekutana nae! Una mashaka na ufaulu wake! Na lugha yake ya kiingeleza haipandi.
1. Kama mnatofautina mbona hujalalmika kwa kiingeleza! We ai msomi mzuri?

2. Yaani tena,mara mia yeye kuliko wewe. Yeye kaleta F zake kutafuta maisha na kuiweka sawa familia yake, na wewe umekalia majungu na fitina tuu. Msoni anaejitambua hua na hekima. Hujalidhika nae,muache akafie huko. Wivu wa nini!

Hili lipo wazi ubongo wako umenyeshewa mvua na kulowa. Wataliani,warusi na wengine,ulisikia wakihangaika na lugha za kigeni? Mnawazidi maendeleo?

Kwa umri ulonao,hujawahi ziona mahakama? Kakwambia nani JF ni kituo cha umbea na majungu!! Mada hii inasaidia nini wanaoisoma labda!

Hata wanawake siku hizi tabia za aina hii hawana.
 
Good morning wapendwa,,,
Naombeni msaada wa kisheria katika Hili. Kuna mtu nimekutana nae na kufahamiana nae. Elimu yake ni ngazi ya diploma(uhasibu) lakini ufaulu wake KIDATO Cha nne ni daraja la nne pointi 28.

Matokeo haya yanajumuisha "F" ya hesabu. Pamoja na matokeo hayo, Bado hawezi kuzungumza na kuandika Kwa lugha ya kiingereza. Nimekuta na maswali mengi kuhusu ufaulu wake chuoni Hadi kupata cheti Cha diploma.

Ikiwa lugha ya kufundisha ni kiingereza na mitihani hutungwa Kwa lugha ya kiingereza, alifaulu Kwa miujiza gani? Nahitaji msaada wa kisheria, kama naweza kumshitaki yeye pamoja na chuo kilichomthibitisha kuhitimu Kwa ngazi hiyo.
sasa si ungeanza na yule alie wahi kuwa waziri wa Elimu yule Mama Profesa na kiingereza mbofumbofu ili tuoni kama ni chuki binafsi, wivu au nia njema?
 
Kuna mtu umekutana nae! Una mashaka na ufaulu wake! Na lugha yake ya kiingeleza haipandi.
1. Kama mnatofautina mbona hujalalmika kwa kiingeleza! We ai msomi mzuri?

2. Yaani tena,mara mia yeye kuliko wewe. Yeye kaleta F zake kutafuta maisha na kuiweka sawa familia yake, na wewe umekalia majungu na fitina tuu. Msoni anaejitambua hua na hekima. Hujalidhika nae,muache akafie huko. Wivu wa nini!

Hili lipo wazi ubongo wako umenyeshewa mvua na kulowa. Wataliani,warusi na wengine,ulisikia wakihangaika na lugha za kigeni? Mnawazidi maendeleo?

Kwa umri ulonao,huhawahi ziona mahakama? Kakwambia nani JF ni kituo cha umbea na majungu!! Mada hii inasaidia nini wanaoisoma labda!

Hata wanawake siku hizi tabia za aina hii hawana.
Mbona unakuja na povu jingi hivi ndugu? Na wewe una matokeo ya hivi? Wewe unanijua kiasi Cha kusema Nina wivu na huyo mtu? Sikufaham lakini na Wala si vizuri kutambiana hapa ila sipo na hizo njaa. Nahitaji kujua kama Kuna Sheria yoyote inayoweza kunipa muongozo wa kile ninachofikiria. Huu si umbea kama unavyotaka. Vinginevyo, stress zako za kimaskini peleka huko. Rudi kwenye hoja.
 
sasa si ungeanza na yule alie wahi kuwa waziri wa Elimu yule Mama Profesa na kiingereza mbofumbofu ili tuoni kama ni chuki binafsi, wivu au nia njema?
Jambo langu ni matokeo na lugha. Na dhana ya kufaulu. Yule profesa, huenda anapata shida kuongea ila anaandika Kwa ufasaha na ufaulu wake ni mzuri. Kama Kuna Sheria au kifungu Cha Sheria kinachogusa eneo Hili, naomba kufahamu.
 
embu anza na profesa tujirudhishe alianza chuo na sifa zipi, na aliandikaje mitihani na maandiko yake na hajui kuzungumza kiingereza, kisha tuje kwa huyo kijana alifauli vip hali ya kua hakua na vigezo msingi kusoma coz husika na hatimae kufaulu vizuri .
Tuanzie hapo kwanza sheria ipo kuhusu kughushi na udanganyifu
 
Mbona unakuja na povu jingi hivi ndugu? Na wewe una matokeo ya hivi? Wewe unanijua kiasi Cha kusema Nina wivu na huyo mtu? Sikufaham lakini na Wala si vizuri kutambiana hapa ila sipo na hizo njaa. Nahitaji kujua kama Kuna Sheria yoyote inayoweza kunipa muongozo wa kile ninachofikiria. Huu si umbea kama unavyotaka. Vinginevyo, stress zako za kimaskini peleka huko. Rudi kwenye hoja.
Sawa. Tajiri gani wa kuhangaikia pumba! Sawa,tuseme hivyo vyeti kafoji. Shida yako nini? Akipata kazi kwa vyeti feki vyake,inakuuma ninii!? Haya,sheria zipo. Wewe zinakusaidia nini? Unamfukuzia kama nani? Na hiyo ni laana sio bule. Umefikilia labda kama ameforge,anatafuta liziki ili iweje? Kama ana familia? Utailisha wewe! Umeona,potezea. Basi kashone sale za askali bandia,anza kuwasaka wanaopata mlo na kulisha familia zao kwa njia hizo. Fanya kazi au wakuelekeze wamefanyeje acha majungu
 
Good morning wapendwa,,,
Naombeni msaada wa kisheria katika Hili. Kuna mtu nimekutana nae na kufahamiana nae. Elimu yake ni ngazi ya diploma(uhasibu) lakini ufaulu wake KIDATO Cha nne ni daraja la nne pointi 28.

Matokeo haya yanajumuisha "F" ya hesabu. Pamoja na matokeo hayo, Bado hawezi kuzungumza na kuandika Kwa lugha ya kiingereza. Nimekuta na maswali mengi kuhusu ufaulu wake chuoni Hadi kupata cheti Cha diploma.

Ikiwa lugha ya kufundisha ni kiingereza na mitihani hutungwa Kwa lugha ya kiingereza, alifaulu Kwa miujiza gani? Nahitaji msaada wa kisheria, kama naweza kumshitaki yeye pamoja na chuo kilichomthibitisha kuhitimu Kwa ngazi hiyo.
Wasalaam Mkuu.

Kwanza, unapaswa kujua vigezo vya kusoma kozi husika kwa mwaka aliochaguliwa kusoma. Mara nyingi kozi ya Uhasibu wanahitaji uwe na D nne, sijafahamu kama ni LAZIMA moja iwe ya Mathematics.

Lakini, tambua kuna kozi ya awali kwa walioshindwa kufikia maksi fulani. Atasoma hiyo kozi kisha baadae atatahiniwa, na endapo atafaulu basi ruksa kuendelea na Cheti na baadae Diploma.

Je, umejiridhisha na hayo?

Pili, janga la kujua kuzungumza Kiingereza ni la Watanzania wote. Wapo mpaka wenye PhD, lakini bado lugha hiyo inawapiga chenga sana. Alishawahi kuwepo Mkuu mmoja, Kingereza kilikuwa chenga.

Unapaswa kujua kuwa, kutokujua kuzungumza lugha fulani si kosa kisheria.

Tatu, Wahasibu hawahitaji sana lugha katika kutekeleza majukumu yao. Kwao, namba ndizo za muhimu.
Lakini pia, mifumo ndiyo inachakata taarifa nyingi sana za kihasibu.

Katika kada ambazo kazi zake zipo katika hatihati ya kumezwa na teknolojia, basi ni Uhasibu. Mambo mengi sana kwa sasa yatekelezwa kwenye mfumo. Kama mhusika anaimudu katika kutekeleza kazi yake, basi hewala.

Nne, huwezi kumshtaki mhusika na chuo. Kwa miaka ile, wanafunzi walipata nafasi kwa kuomba kupitia NACTE. Kisha wao wataona kama anakidhi vigezo, kisha atapangiwa chuo.

Kwa hiyo sasa, utapaswa kwenda chuo husika ukiomba chuo hicho wamfutie cheti chake. Na kuona kama kuna uzembe ulifanyika wakati wa kuchaguliwa kwake. Kama upo, basi utawashtaki NACTE pamoja na Chuo husika. Na endapo mhusika alitumia njia za uongo kuwashawishi NACTE wamkubali, basi naye atashtakiwa.

Tano, mtaarifu mhusika kuwa una nia ya kumshtaki. Ili naye akakuloge vizuri. Mapumbu yaning'inie puani.

Haiwezekani kitendo cha kujuana na mhusika, unataka kumfanyia mambo ya kipumbavu.

Hoja yako ingejikita katika kusema madhaifu yake katika utendaji.

Hizi tunaziita husda. Kama unataka nafasi ya mwenzako, pambana kufanya kazi kwa bidii. Nafasi itakufata tu.
 
Sawa. Tajiri gani wa kuhangaikia pumba! Sawa,tuseme hivyo vyeti kafoji. Shida yako nini? Akipata kazi kwa vyeti feki vyake,inakuuma ninii!? Haya,sheria zipo. Wewe zinakusaidia nini? Unamfukuzia kama nani? Nab hiyo ni laana sio bule. Umefikilia labda kama ameforge,anatafuta liziki ili iweje? Kama ana familia? Utailisha wewe! Umeona,potezea. Basi kashone sale za askali bandia,anza kuwasaka wanaopata mlo na kulisha familia zao kwa njia hizo. Fanya kazi au wakuelekeze wamefanyeje acha majungu
Jikite kwenye hoja. Kama huna, nyamaza.
 
Wasalaam Mkuu.

Kwanza, unapaswa kujua vigezo vya kusoma kozi husika kwa mwaka aliochaguliwa kusoma. Mara nyingi kozi ya Uhasibu wanahitaji uwe na D nne, sijafahamu kama ni LAZIMA moja iwe ya Mathematics.

Lakini, tambua kuna kozi ya awali kwa walioshindwa kufikia maksi fulani. Atasoma hiyo kozi kisha baadae atatahiniwa, na endapo atafaulu basi ruksa kuendelea na Cheti na baadae Diploma.

Je, umejiridhisha na hayo?

Pili, janga la kujua kuzungumza Kiingereza ni la Watanzania wote. Wapo mpaka wenye PhD, lakini bado lugha hiyo inawapiga chenga sana. Alishawahi kuwepo Mkuu mmoja, Kingereza kilikuwa chenga.

Unapaswa kujua kuwa, kutokujua kuzungumza lugha fulani si kosa kisheria.

Tatu, Wahasibu hawahitaji sana lugha katika kutekeleza majukumu yao. Kwao, namba ndizo za muhimu.
Lakini pia, mifumo ndiyo inachakata taarifa nyingi sana za kihasibu.

Katika kada ambazo kazi zake zipo katika hatihati ya kumezwa na teknolojia, basi ni Uhasibu. Mambo mengi sana kwa sasa yatekelezwa kwenye mfumo. Kama mhusika anaimudu katika kutekeleza kazi yake, basi hewala.

Nne, huwezi kumshtaki mhusika na chuo. Kwa miaka ile, wanafunzi walipata nafasi kwa kuomba kupitia NACTE. Kisha wao wataona kama anakidhi vigezo, kisha atapangiwa chuo.

Kwa hiyo sasa, utapaswa kwenda chuo husika ukiomba chuo hicho wamfutie cheti chake. Na kuona kama kuna uzembe ulifanyika wakati wa kuchaguliwa kwake. Kama upo, basi utawashtaki NACTE pamoja na Chuo husika. Na endapo mhusika alitumia njia za uongo kuwashawishi NACTE wamkubali, basi naye atashtakiwa.

Tano, mtaarifu mhusika kuwa una nia ya kumshtaki. Ili naye akakuloge vizuri. Mapumbu yake puani.

Haiwezekani kitendo cha kujuana na mhusika, unataka kumfanyia mambo ya kipumbavu.

Hoja yako ingejikita katika kusema madhaifu yake katika utendaji.

Hizi tunaziita husda. Kama unataka nafasi ya mwenzako, pambana kufanya kazi kwa bidii. Nafasi itakufata tu.
Kwa akili hizi atachonga,huyu akifukuzwa ataajiliwa mwingine.
 
kama hataelewa hapa basi tutaconfirm without fear of contradictions kwamba mtoa bandiko amesukumwa na wivu tu, kwasababu muhisika walisoma nae na walifeli pamoja form4 na mathematics wote walipata F,

Sasa huyu mtoa bandiko anashangaa huyu rafik yangu amefanyafanyaje mpaka kuibuka na diploma ya accounts?

My friend, ni kujipanga tu, hakuna muujiza wala namna nyingine.
Acha wivu na chuki binafsi.
Acha mwenzie atusue ale kwa urefu wa kamba yake .......
 
Back
Top Bottom