Kuanza kukatwa mshahara kabla ya kuchukua mkopo ni halali kisheria?

May 19, 2023
15
11
Napenda kujua, Je inakuwaje kama nimeomba mkopo Benki na afisa utumishi ameidhinisha maombi ya mkopo lakini Benki wakachelewa kunipa mkopo ule. Hadi wakaanza kunikata makato, kisheria imekaa vp km ntawashitaki?

Sent from my JZ-A800-11A using JamiiForums mobile app
 
katika uzi wako wa mwanzo maelezo hayakuwa yakujitosheleza,ila naomba kufahamu kwanza tayari mkopo umeishaingia katika akaunti yako? je kiasi cha mkopo husika kiliwekwa katika akaunti yako nje na muda mliokubaliana?na je makato yaliyofanyika ni nje na mliyokubaliana?na je ulipata madhara yoyote kutokana na tatizo hilo? kama hakuna na vitu vyote vilifanyika kama mlivyokubaliana nakushauri tu endelea kutumia mkopo wako kwa kile ulichokusudia huku ukifanya marejesho kwa kadri ya makubaliano yenu.
 
Mkopo haukuingia Hadi ikabidi Mimi nimuombe afisa utumishi asimamishe makato Yale maana walianza kunikata,hivyo hakuna mkopo ulioingia na hata ile pesa waliyoikata kwa mwezi mmoja wamegoma kuirudisha maana niliwaandikia Hadi barua lkn hawajarespond
 
Nyie wapole sana, si unaenda hautoki bank unakaa hapo hapo? Huo si wizi?
 
katika uzi wako wa mwanzo maelezo hayakuwa yakujitosheleza,ila naomba kufahamu kwanza tayari mkopo umeishaingia katika akaunti yako? je kiasi cha mkopo husika kiliwekwa katika akaunti yako nje na muda mliokubaliana?na je makato yaliyofanyika ni nje na mliyokubaliana?na je ulipata madhara yoyote kutokana na tatizo hilo? kama hakuna na vitu vyote vilifanyika kama mlivyokubaliana nakushauri tu endelea kutumia mkopo wako kwa kile ulichokusudia huku ukifanya marejesho kwa kadri ya makubaliano yenu.
Pia madhala yapo,kuna dharula nilikuwa nayo lkn sababu ya benk kuchelewa ikabd madhala zaid yanitokee,,,(Madhala ni mengi lkn naomba nisiyaorodheshe hapa)
 
Napenda kujua, Je inakuwaje kama nimeomba mkopo Benki na afisa utumishi ameidhinisha maombi ya mkopo lakini Benki wakachelewa kunipa mkopo ule. Hadi wakaanza kunikata makato, kisheria imekaa vp km ntawashitaki?

Sent from my JZ-A800-11A using JamiiForums mobile app
Nadhani soma upya mkataba wako ulioingia na benki unasemaje?
japo hatujui ni benki gani ulichukua mkopo.
Kuna benki sitaitaja ila ni benki kubwa,maafisa mkopo walitaka kunifanyia uhuni
nikawastukia baada ya kusoma na kuuelewa vizuri ule mkataba.

Mkataba ulikuwa unaeleza,ukichukua mkopo mwezi huu,unaanza kulipa mwezi ujao.
wao wakanikata fedha kwenye mkopo wakidai ni rejesho la mwezi husika,nikagoma mpaka tukaenda kwa bank manager issue ikawekwa sawa nikaokoa karibia milioni moja na ushe.Ningekuwa nimelegea ilikuwa imetoka.
 
Mkopo haukuingia Hadi ikabidi Mimi nimuombe afisa utumishi asimamishe makato Yale maana walianza kunikata,hivyo hakuna mkopo ulioingia na hata ile pesa waliyoikata kwa mwezi mmoja wamegoma kuirudisha maana niliwaandikia Hadi barua lkn hawajarespond
Benki gani hiyo itaje jina? Wanagomaje kama una evidence wapeleke mahakamani. Ila mimi wangerudisha siku iyo iyo zege halilali. Au unadai kinyonge sana fedha zako.
 
Back
Top Bottom