Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Habari kwenu wanabodi, naleta swali hili kwenu, Je, ni kifungu gani cha sheria kinacho regulate utoaji wa maiti kutoka vyumba vya kuhifadhia maiti maarufu kama mochwari (mortuary)? Maana katika...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Nilianza shule nikiwa naitwa X nikasoma mpaka darasa la sita, nikafukuzwa shule, ilikua private na sikuweza pata uhamisho. Nikaamia shule nyingine ndani ya wilaya hiyo iyo ya serikali lakini mkuu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
By ADAM IHUCHA | Special Correspondent | July 28 2012 A fresh row is brewing between Tanzania and Malawi over the ownership of Lake Nyasa, one of the world's largest freshwater bodies. Home to...
2 Reactions
102 Replies
36K Views
Ndugu wana Sheria, Nimeombwa niwasilishe kwenu ombi la Msaada wa kisheria kwa Mayatima hawa ambao wanataka kupata mwanga wa kisheria kama kuna uwezekano wa kupata urithi wa haki za Merehemu baba...
1 Reactions
2 Replies
920 Views
Nilijaza leaving cert. kimakosa kwenye tarehe badala ya 7 nilijaza 17. Swali je nifuate hatua gani ili tarehe niziweke ziwe sawa. Ahsante
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari wana JF naleta mrejesho wa kesi ile ya mgogor wa urithi. Baba aliyezaa na wanawake tofauti. Baada ya kwenda mahakamani ikaonekana ilikuwa ni kampuni na si mali ya mtu binafsi. Na katika...
1 Reactions
6 Replies
782 Views
Ni familia ya rafiki yangu mmoja. Iki hivi baba yao alioa mke wa kwanza akazaa nae watoto 2. Baada ya mikaa 3 mke alifaliki. Akabaki baba na watoto 2. Ila baadae baba yao akazaa na mwanamke...
1 Reactions
66 Replies
3K Views
Wadau wa jukwaa salamu! Nawasilisha swali langu hivi, kama mfanyakazi ameachishwa kazi lakini hajafikisha vigezo vya kulipwa pensheni je atalipwa tu malipo aliyochangia au atapewa na faida...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
MSAADA TUTANI Hello folk! I'm humble, asking for your legal help! I may be ignorant of the right path of legal procedure in handling this case! Mr X come to my shop one day and he asked for some...
0 Reactions
1 Replies
827 Views
Habari wapendwa? Tuna watoto 4, ila mtoto mkubwa wa kwanza sio wangu nilioa mke wangu akiwa tayari ana mtoto, watoto watatu ndio nilizaa naye. Huyu mtoto wa kufikia tangu akiwa mdogo miaka 2...
9 Reactions
152 Replies
20K Views
Foleni ni tatizo linalosumbua wananchi wote tu. Magari ni mengi. Wenye uwezo wananunua magari yao. Magari mengine madogo, mengine makubwa ya familia. Magari ya usafiri wa umma yanabeba watu...
0 Reactions
2 Replies
748 Views
THE LEGAL BATTLE TO INHERIT THE ESTATE OF THE BUSINESS TYCOON LATE REGINALD MENGI: HISTORIC AND MONUMENTAL JUDGEMENT BY HIS LORDSHIP MLYAMBINA. "The dead commands nothing from his grave except...
3 Reactions
19 Replies
5K Views
Primary Courts/ Mahakama za Mwanzo 1.0 UTANGULIZI Mahakama ya mwanzo ni Mahakama ya chini kabisa katika mfumo wa Mahakama hapa nchini Mahakama hii inaanizishwa kwa mujibu wa fungu la 3 la sheria...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Historia ya Nafasi ya Mtoto wa nje ya Ndoa katika Mirathi Katika masuala ya mirathi jambo mojawapo ambalo limekuwepo katika jamii na limeibua changamoto kubwa ni nafasi ya mtoto wa nje ya ndoa...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
How to enforce foreign judgements in Tanzania (jinsi ya kutekeleza hukumu ya nje ya nchi hapa Tanzania). Kupitia makala hii utajifunza mambo yafuatayo: 1: Whether a foreign judgement can be...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Mnamo tarehe 09/07/2023 nilifanya muamala kutoka simu yangu kwenda kwenye kampuni moja ya michezo ya kubahatisha 'kubet'. Ni kampuni kubwa tu kwa hapa Tz. Hiyo fedha...
0 Reactions
1 Replies
908 Views
Habari wadau ! Leo nimeandikiwa fine kisa taa ya break imeungua na taa zinaungua muda wowote , je hii kisheria imekaaje ? si alipaswa kunipa taarifa tu kama onyo au mimi ndo sijui
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Huku ni kukomoana aka kuwakomoa wananchi wenye nia ya kuwa na Passport ya kusafiria lohhh Majangaa kweli ya nchi yetu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Siku ya juzi tarehe 19 september 2023 tumeletewa notisi ya malipo ya kodi ya ardhi (nimeambatanisha) ikiamrisha tulipe kodi ya ardhi jumla ya shilingi 244,700/=tshs Kodi ya...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Nilikuwa nafuatilia passport nikaambiwa niandae Cheti Cha kuzaliwa Cha mzazi au kiapo/ afidavit. Naomba kufahamu namna ya kupata afidavit. Je, inawezekana kuipata katika Mahakama ya mwanzo...
0 Reactions
4 Replies
817 Views
Back
Top Bottom